Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKWELI UTAKUWEKA HURU: Wasira anatumia kigezo gani kuutamka ushetani wa wapinzani

>Wakati joto la uchaguzi 2015 likiendelea  kupanda nchini, propaganda za kuwachafua wapinzani zinazidi kuongezeka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Mwaka Mpya Serikali ya CCM iache woga kwa wapinzani

Awali ya yote napenda kuwatakia heri na Baraka za Mwenyezi Mungu kwa wasomaji wangu wote na wananchi kwa ujumla “ Heri ya Mwaka Mpya na Baraka tele kwenu nyote.”

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Chadema mbioni kufa?

Malalamiko mengi yamezuka  hususani ugawaji wa viti maalumu ya ubunge na udiwani ndani  ya chama kikuu  cha upinzani nchini. Mitandoni maoni na malalamiko yamesheheni kiasi kwamba mtu unaweza kuanza kufikiria “Chadema mbioni kufa?”

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: CCM inapomwaga ugali, Ukawa inamwaga mboga

Sasa tumeingia katika kipindi cha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu. Katika uchaguzi huo Watanzania kwa mara nyingine watapata fursa ya kuwachagua madiwani, wabunge na Rais wa awamu ya tano.

 

11 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kweli Kinana shujaa, jasiri anayetoboa siri ya CCM

>Kama tulivyoona wiki iliyopita, siasa zimeendelea kuwa za mazoea katika nchi yetu, lakini zina madhara. Ni yapi hayo, endelea…

 

11 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kwa ishara hizi umefika mwisho wa CCM kuwa madarakani

>Wahenga walisema, ‘kila kitu  chenye mwanzo pia kina mwisho wake.’ Usemi huu una ukweli ndani yake ingawa katika baadhi ya nyakati  unapuuzwa na watu hasa wenye upeo  mdogo wa kufikiri au wale waliochanganyikiwa.

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU : Dawa ya Zanzibar ni Rais Magufuli kukubali kufanya kazi na Maalim Seif

Kwa kawaida katika maisha ya kila siku kiburi na jeuri havimsaidii mwanadamu. Nimesoma kwenye magazeti habari inayogusa maisha ya Watanzania wengi.

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Miaka 54 mmeshindwa, miaka mitano mtaweza?

Kwanza kabisa napenda niwaombe radhi wasomaji wangu wa safu  hii ya   ‘Ukweli Utakuweka huru’ kwa kuzikosa  mada zangu kwa takriban  mwezi mmoja. Hali hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu.

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU : Jiwe walilolikataa CCM limekuwa jiwe kuu Chadema

Injili inatufundisha kuwa enzi ya Yesu Kristo, baadhi ya watu walimwona ni kama kichaa na mvuruga amani katika jamii.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Muhongo uwazi utakuweka huru

WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, amesisitiza kuwa ofisi yake kamwe haiwezi kulipatia Bunge mikataba ya gesi na mafuta ambayo serikali imesaini na makampuni kadhaa yanayofanya shughuli hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani