UKWELI UTAKUWEKA HURU: CCM inapomwaga ugali, Ukawa inamwaga mboga
Sasa tumeingia katika kipindi cha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu. Katika uchaguzi huo Watanzania kwa mara nyingine watapata fursa ya kuwachagua madiwani, wabunge na Rais wa awamu ya tano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 May
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kweli Kinana shujaa, jasiri anayetoboa siri ya CCM
>Kama tulivyoona wiki iliyopita, siasa zimeendelea kuwa za mazoea katika nchi yetu, lakini zina madhara. Ni yapi hayo, endelea…
11 years ago
Mwananchi25 Jun
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kwa ishara hizi umefika mwisho wa CCM kuwa madarakani
>Wahenga walisema, ‘kila kitu chenye mwanzo pia kina mwisho wake.’ Usemi huu una ukweli ndani yake ingawa katika baadhi ya nyakati unapuuzwa na watu hasa wenye upeo mdogo wa kufikiri au wale waliochanganyikiwa.
9 years ago
Mwananchi30 Dec
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Mwaka Mpya Serikali ya CCM iache woga kwa wapinzani
Awali ya yote napenda kuwatakia heri na Baraka za Mwenyezi Mungu kwa wasomaji wangu wote na wananchi kwa ujumla “ Heri ya Mwaka Mpya na Baraka tele kwenu nyote.â€
9 years ago
Mwananchi26 Aug
UKWELI UTAKUWEKA HURU : Jiwe walilolikataa CCM limekuwa jiwe kuu Chadema
Injili inatufundisha kuwa enzi ya Yesu Kristo, baadhi ya watu walimwona ni kama kichaa na mvuruga amani katika jamii.
9 years ago
Mwananchi25 Nov
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Chadema mbioni kufa?
Malalamiko mengi yamezuka hususani ugawaji wa viti maalumu ya ubunge na udiwani ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini. Mitandoni maoni na malalamiko yamesheheni kiasi kwamba mtu unaweza kuanza kufikiria “Chadema mbioni kufa?â€
10 years ago
Mwananchi24 Sep
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Wasira anatumia kigezo gani kuutamka ushetani wa wapinzani
>Wakati joto la uchaguzi 2015 likiendelea kupanda nchini, propaganda za kuwachafua wapinzani zinazidi kuongezeka.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
UKWELI UTAKUWEKA HURU : Dawa ya Zanzibar ni Rais Magufuli kukubali kufanya kazi na Maalim Seif
Kwa kawaida katika maisha ya kila siku kiburi na jeuri havimsaidii mwanadamu. Nimesoma kwenye magazeti habari inayogusa maisha ya Watanzania wengi.
9 years ago
Mwananchi14 Oct
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Miaka 54 mmeshindwa, miaka mitano mtaweza?
Kwanza kabisa napenda niwaombe radhi wasomaji wangu wa safu hii ya  ‘Ukweli Utakuweka huru’ kwa kuzikosa mada zangu kwa takriban mwezi mmoja. Hali hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mz78Jmrm5Z0s*sVsSNUmBAF-un66w0E3h-URSoguCAjLvh*C0yolgsauyl6QNym8Wiv8GkaViWq5CCynXa9mtzn/Obama.gif?width=650)
BIBI AMUANDALIA OBAMA UGALI, MBOGA ZA KIENYEJI
Mwandishi wetu
LICHA ya Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi kusisitiza kuwa Rais Barack Obama hatatembelea Kijiji cha K’Ogelo, alikozaliwa baba yake mzazi, bibi yake, Mama Sarah Obama amesema atamuandalia chakula kizuri cha kiasili ukiwamo ugali na mboga za majani za kienyeji. ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1LEqlxf
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania