MAALIM SEIF ASEMA AMEFURAHI KUKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MAGUFULI
Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya Jamii
MWANASIASA mkongwe nchini ambaye kwa sasa ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema anamshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa kukutana na kufanya mazungumzo naye.
Maalim Seif amekutana na Rais Magufuli ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ajiunge na ACT –Wazalendo akitokea Chama cha Wananci(CUF).Hata hivyo kabla ya kuondoka CUF alishawahi kukutana na kufanya mazungumzo na Rais.
Akizungumza baada ya mazungumzo yake na Rais Magufuli,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU DAR ES SALAAM
Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASIASA MKONGWE MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, akisisitiza jambo wakati...
5 years ago
CCM BlogRAIS DK MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA KINA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD,PROF LIPUMBA NA MBATIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
IKULU, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli amefanya mazungumzo na...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
UKWELI UTAKUWEKA HURU : Dawa ya Zanzibar ni Rais Magufuli kukubali kufanya kazi na Maalim Seif
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo
Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli, (katikati) na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu wakiwa katika picha ya pamoja.
Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli wakiongea na wanahabari. Seif Sharif akiagana na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu.
9 years ago
StarTV22 Dec
Rais Magufuli akutana na Maalim Seif kujadili hali ya siasa Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amekutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif Hamad Ikulu Jijini Dar es Salaam kujadili hali ya siasa inavyoendelea visiwani Zanzibar
Mazungumzo ya Viongozi hao yamehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Viongozi hawa kwa pamoja wamejadili hali ya kisiasa Zanzibar na wamefurahishwa na hali ya...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli leo Desemba 21,2015 amekutana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Ikulu Dar es salaam na kufanya naye Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa visiwani humo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]
The post Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAALIM SEIF SHARIF HAMADI IKULU JIJINI DAR LEO