Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Shein avutana na Maalim Seif Zanzibar

Na Esther Mbussi, Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25  mwaka huu.

Alisema kauli inayozungumzwa na wapinzani kwamba chama hicho kimekuwa kikiiba kura katika uchaguzi ni kauli za ghiliba na vitisho ambazo hazipaswi kutolewa na kiongozi aliyebobea.

Rais huyo wa Zanzibar pia alisema hakuna sababu za msingi za kuifanyia mabadiliko Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiwamo kuwaondoa watendaji...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Zanzibar:Shein akutana na Maalim Seif

Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiwa cha Zanzibar yameendelea huku mkutano uliowaleta pamoja rais Ali Mohammed Shein na kiongozi wa upinzani Seif Sharrif Hamad ukifanyika.

 

9 years ago

Mwananchi

9 years ago

Vijimambo

DKT. SHEIN, MAALIM SEIF WASHIRIKI BARAZA LA EID EL-HAJJ MJINI ZANZIBAR LEO

Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis, Rais wa Zanzibar, Dkt. Alhaj Ali Mohammed Shein, Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar,Abubar Khamis Bakary Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, na Rais mstaaffu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakiwa kwenye baraza la Eid El Hajj, mjini Zanzibar leo Septemba 24, 2015. Waislamu kote Duniani wanasherehekea sikukuu ya Eid El HajjRais...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Shein na Maalim Seif

Halmashauri Kuu ya CCM imempitisha Dk Ali Mohamed Shein kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa awamu ya pili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif awavaa JK, Dk. Shein

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amewataka Rais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein wasikubali kudanganywa na vigogo waliosimamia Bunge Maalum la Katiba (BMK)....

 

9 years ago

Habarileo

Shein rasmi kumvaa Maalim Seif

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar, akiomba ridhaa kwa wananchi aweze kuongoza katika kipindi kingine cha miaka mitano, ambapo sasa atapambana na mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad.

 

10 years ago

Habarileo

Shein amtolea uvivu Maalim Seif

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameelezea kushangazwa na tabia ya vyama vya upinzani kususia mchakato wa Katiba wakati ndio waliokuwa mstari wa mbele kulilia uwepo wa Katiba mpya. Aidha, ameelezea kushangazwa na msimamo wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuikataa Katiba Inayopendekezwa, ilhali mambo anayoyalilia yamo katika katiba hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Shein, Maalim Seif wateta Ikulu

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekutana katika Ikulu ya Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mkuu uliofutwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Pambano la Dk Shein, Maalim Seif limeshaanza

Kabla na baada ya kuandikwa kwa Katiba Inayopendekezwa, wananchi wa Zanzibar wamebaki katika kizungumkuti kupambanua, kupima na kupembua ni nani kati ya Rais, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wake wa Kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad anasema kweli na kustahili kusikilizwa kwa kina cha ufahamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani