Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein amtolea uvivu Maalim Seif

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameelezea kushangazwa na tabia ya vyama vya upinzani kususia mchakato wa Katiba wakati ndio waliokuwa mstari wa mbele kulilia uwepo wa Katiba mpya. Aidha, ameelezea kushangazwa na msimamo wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuikataa Katiba Inayopendekezwa, ilhali mambo anayoyalilia yamo katika katiba hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Msekwa amtolea uvivu Kingunge

Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amemrushia kombora kada mkongwe wa chama hicho, Kingunge Ngombale-Mwiru kuwa, hazijui vyema kanuni zinazoongoza mchakato wa uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Mpanda amtolea uvivu mhandisi

MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima, amempa  siku saba Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda,  Albert Kinyando, kuhakikisha jengo la Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Makame amtolea uvivu Prof. Lipumba


Na Mwandishi Wetu, Pemba
CHAMA cha Allience for Democratic Change (ADC), kimemtaka Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, asiishie kudai kuvunjwa mkono na polisi,  badala yake akiri kuwa alijiunga na chama hicho kwa lengo kutafuta madaraka na njia ya kuingia Ikulu.
Kimesema kuwa Profesa Lipumba ni mfano wa wanasiasa wenye uchu wa madaraka na kwamba, hakuwa na dhamira ya kujiunga na upinzani, bali ilikuwa kuwania urais.
Hayo yalielezwa na Mkurugenzi wa Uenezi na Habari wa ADC, Ali Makame,...

 

10 years ago

Mwananchi

Kingunge amtolea uvivu Nape Nnauye

Mwanasiasa mkongwe wa CCM, Kingunge Ngombale-Mwiru amemshukia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye kwa kauli zake alizodai zinaminya demokrasia na kwamba CCM haiwezi kusimama wanapopambana wenyewe kwa wenyewe.

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika amtolea uvivu Prof Muhongo

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika, amemjia juu mjumbe mwenzake, Profesa Sospeter Muhongo kwa kile alichodai kutaka kuharakishwa upitiaji wa rasimu za kanuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Urais 2015: Malecela amtolea uvivu Lowassa

>Vita ya urais kupitia CCM inazidi kushika kasi baada ya Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, John Malecela kuutaka uongozi kumchukulia hatua Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa kuanza mapema kampeni.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Shein na Maalim Seif

Halmashauri Kuu ya CCM imempitisha Dk Ali Mohamed Shein kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa awamu ya pili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif awavaa JK, Dk. Shein

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amewataka Rais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein wasikubali kudanganywa na vigogo waliosimamia Bunge Maalum la Katiba (BMK)....

 

9 years ago

Habarileo

Shein, Maalim Seif wateta Ikulu

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekutana katika Ikulu ya Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mkuu uliofutwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani