Msekwa amtolea uvivu Kingunge
Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amemrushia kombora kada mkongwe wa chama hicho, Kingunge Ngombale-Mwiru kuwa, hazijui vyema kanuni zinazoongoza mchakato wa uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Jul
Kingunge amtolea uvivu Nape Nnauye
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
DC Mpanda amtolea uvivu mhandisi
MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima, amempa siku saba Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda, Albert Kinyando, kuhakikisha jengo la Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya...
10 years ago
Uhuru NewspaperMakame amtolea uvivu Prof. Lipumba
Na Mwandishi Wetu, Pemba
CHAMA cha Allience for Democratic Change (ADC), kimemtaka Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, asiishie kudai kuvunjwa mkono na polisi, badala yake akiri kuwa alijiunga na chama hicho kwa lengo kutafuta madaraka na njia ya kuingia Ikulu.
Kimesema kuwa Profesa Lipumba ni mfano wa wanasiasa wenye uchu wa madaraka na kwamba, hakuwa na dhamira ya kujiunga na upinzani, bali ilikuwa kuwania urais.
Hayo yalielezwa na Mkurugenzi wa Uenezi na Habari wa ADC, Ali Makame,...
10 years ago
Habarileo27 Oct
Shein amtolea uvivu Maalim Seif
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameelezea kushangazwa na tabia ya vyama vya upinzani kususia mchakato wa Katiba wakati ndio waliokuwa mstari wa mbele kulilia uwepo wa Katiba mpya. Aidha, ameelezea kushangazwa na msimamo wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuikataa Katiba Inayopendekezwa, ilhali mambo anayoyalilia yamo katika katiba hiyo.
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Mnyika amtolea uvivu Prof Muhongo
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Urais 2015: Malecela amtolea uvivu Lowassa
9 years ago
GPLJOKATE AMTOLEA CHOZI JERRY SILAA
10 years ago
Daily News02 Aug
Msekwa new MoCU Chancellor
Msekwa new MoCU Chancellor
Daily News
Former Speaker of the National Assembly has been appointed Chancellor of Moshi Co-operative University (MoCU). At a ceremony held here on Friday, Mr Pius Msekwa was handed over the mantle by the interim Chancellor, Mr Al Noor Kassum. Mr Msekwa ...
11 years ago
TheCitizen27 Jun
Analysts criticise Msekwa’s stance