Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. SHEIN, MAALIM SEIF WASHIRIKI BARAZA LA EID EL-HAJJ MJINI ZANZIBAR LEO

Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis, Rais wa Zanzibar, Dkt. Alhaj Ali Mohammed Shein, Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar,Abubar Khamis Bakary Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, na Rais mstaaffu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakiwa kwenye baraza la Eid El Hajj, mjini Zanzibar leo Septemba 24, 2015. Waislamu kote Duniani wanasherehekea sikukuu ya Eid El HajjRais...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE BARAZA LA EID EL HAJJ MUSOMA LEO

 Injinia Mkuu wa Ujenzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Wilaya ya Musoma Suleiman Bishanga, akimuonesha Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal ramani ya ujenzi wa msikiti huo hadi utakapokamilika wakati Makamu wa Rais alipotembelea kuangalia ujenzi huo leo Sept 24,2015. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Himid Jongo kwenye Baraza la eid el Hajj iliyofanyika kitaifa leo Sept 24, 1015 katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif azuiwa kuhudhuria Shein akivunja Baraza la Wawakilishi leo

Zanzibar. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wamemzuia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kuhudhuria shughuli ya kuvunja Baraza hilo itakayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein leo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shein atoa mkono wa Eid El Hajj kwa wazee wa Welezo na Sebleni Zanzibar

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee Welezo wakiwasili katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Welezo Unguja kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa Mkono wa Eid kwa Wazee hao kusherehekea Sikukuu hiyo ya Eid El Hajj.

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha akizungumza na Wazee wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN ATOWA MKONO WA EID EL HAJJ KWA WAZEE WA WELEZO NA SEBLENI ZANZIBAR

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee Welezo wakiwasili katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Welezo Unguja kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa Mkono wa Eid kwa Wazee hao kusherehekea Sikukuu hiyo ya Eid El Hajj.Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha akizungumza na Wazee wa Welezo...

 

9 years ago

Vijimambo

DK SHEIN MGENI RASMIN BARAZA LA EID EL HAJJ UKUMBI WA CHUO CHA AMALI MKOKOTONO MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akipokelewa na Waziri wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili ya kuhudhuria Baraza la Eid El Hajj, kitaifa zimefanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, akiwasili na katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAZEE WA CUF MJINI ZANZIBAR LEO

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani, Zanzibar, leo  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani, Zanzibar, leo Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani.Sehemu ya wazee wa CUF wa Wilaya sita za Unguja waliohudhuria mkutano huo (picha na Hassan Hamad,...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR AL HAJJ DK. ALI MOHAMED SHEIN ATOWA SALAMU ZA EID EL FITR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akitoa Salamu za Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, salamu hizo mwaka huu amezitoa kupitia katika vyombo vya habari Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu)

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBC,ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC)...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI MJINI ZANZIBAR LEO


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt. Juma Yakout Juma kuwa Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Khadija Bakari Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani