Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yaanika posho Tume ya Warioba

TUME ya Mabadiliko ya Katiba haikufukuzwa kazi, isipokuwa siku ya ukomo iliwekwa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. Ikulu imesisitiza kuwa haikuwa na madaraka wala mamlaka, kuibadilisha. Aidha, Ikulu imeanika viwango vya posho, ambavyo wajumbe wa tume hiyo walikuwa wakilipwa vya kati ya Sh 100,000 na Sh 500,000 kwa siku.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Posho Bunge la Katiba yaundiwa tume

SAKATA la nyongeza ya posho limechukua sura mpya baada ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kuunda kamati ya watu sita kulishughulikia. Kificho alisema kamati...

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha nyongeza ya posho

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Sikuidhalilisha Tume ya Warioba

 Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa hakuwa na nia ya kuidhalilisha Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati alipohutubia kulifungua Bunge Maalumu la Katiba, wiki mbili zilizopita.

 

10 years ago

Habarileo

'Rasimu imezingatia ya Tume ya Warioba'

RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, kwa sehemu kubwa imezingatia Rasimu ya Pili ya Katiba, iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ibara 28 za Tume ya Warioba zilizoondolewa

>Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa bungeni juzi, imeondoa Ibara 28 zikiwamo zinazowataka viongozi wa umma kutopokea zawadi kwa manufaa yao binafsi wala kufungua akaunti ya benki nje ya nchi pasipo sababu maalumu, Mwananchi limebaini.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lajigeuza Tume ya Warioba

Neville Meena na Fidelis Butahe, Mwananchi Dodoma. Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisema linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya. Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad amesema litaendelea kupokea mapendekezo kutoka kwa watu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tume ya Warioba yavunjwa rasmi

HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ameivunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba, iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Jaji Joseph Warioba. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana jijini Dar es Salaam na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tume ya Warioba kushiriki mdahalo

 Taasisi ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo wa pili wenye lengo la kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba Inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani