Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ibara 28 za Tume ya Warioba zilizoondolewa

>Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa bungeni juzi, imeondoa Ibara 28 zikiwamo zinazowataka viongozi wa umma kutopokea zawadi kwa manufaa yao binafsi wala kufungua akaunti ya benki nje ya nchi pasipo sababu maalumu, Mwananchi limebaini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FAHAMU IBARA 28 ZA TUME YA WARIOBA ZILIZOONDOLEWA-2

Jaji Joseph Sinde Warioba. Katiba Inayopendekezwa  ambayo inatarajiwa kupigiwa kura na wananchi Aprili 30, mwaka huu awali ilikuwa na Ibara 28 ambazo Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba iliona zinafaa kuwemo lakini Bunge la Katiba chini ya Spika Samwel Sitta ikaona hazifai, hivyo kuzifuta. Ibara zilizoondolewa zimeleta malalamiko kwa wananchi kwani zimeonekana zinafaa zikiwemo zinazowataka viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Sikuidhalilisha Tume ya Warioba

 Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa hakuwa na nia ya kuidhalilisha Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati alipohutubia kulifungua Bunge Maalumu la Katiba, wiki mbili zilizopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe Tume ya Warioba alipuka

IMEELEZWA kuwa wanaoshinikiza serikali mbili katika uundwaji wa katiba ni sawa na wanyonyaji wa taifa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lajigeuza Tume ya Warioba

Neville Meena na Fidelis Butahe, Mwananchi Dodoma. Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisema linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya. Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad amesema litaendelea kupokea mapendekezo kutoka kwa watu na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tume ya Warioba kushiriki mdahalo

 Taasisi ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo wa pili wenye lengo la kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba Inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

'Rasimu imezingatia ya Tume ya Warioba'

RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, kwa sehemu kubwa imezingatia Rasimu ya Pili ya Katiba, iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe aishambulia Tume ya Warioba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Assumpta Mshama, ameishambulia Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kusema kuwa licha ya usomi wa wajumbe waliopo, lakini wameandaa kitu ambacho kinataka kuwagawa Watanzania....

 

11 years ago

Habarileo

Siri ya mapendekezo ya Tume ya Warioba

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja mambo manne yaliyoishawishi Tume yake kupendekeza Muungano wa serikali tatu. Mambo hayo ni Tanganyika kuvaa koti la Muungano, kuongezeka kwa mambo ya Muungano, mgongano wa Katiba, michango na gharama za Muungano na mgao wa mapato ambayo alisema yanahatarisha Muungano wa sasa wa serikali mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani