Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siri ya mapendekezo ya Tume ya Warioba

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja mambo manne yaliyoishawishi Tume yake kupendekeza Muungano wa serikali tatu. Mambo hayo ni Tanganyika kuvaa koti la Muungano, kuongezeka kwa mambo ya Muungano, mgongano wa Katiba, michango na gharama za Muungano na mgao wa mapato ambayo alisema yanahatarisha Muungano wa sasa wa serikali mbili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dk Salim afichua siri ya JK na Tume ya Warioba

>Waziri Mkuu Mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim amesema hakutarajia kusikia kauli za Rais Jakaya Kikwete alizozitoa bungeni kukosoa Rasimu Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa sababu walikuwa wanampa taarifa kwa kila hatua waliyokuwa wanafikia kabla ya kutoa rasimu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Chenge: Asilimia 75 ya mapendekezo ni ya Tume

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge la Katiba, Andrew Chenge amesema Katiba inayopendekezwa imebeba asilimia 75 ya maudhui ya Rasimu ya iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Waagiza mapendekezo ya Tume Nansio kufanyiwa kazi

BARAZA la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza, limeagiza mapendekezo 28 ya tume iliyoundwa kuchunguza tatizo la maji mjini Nansio yafanyiwe kazi.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Sikuidhalilisha Tume ya Warioba

 Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa hakuwa na nia ya kuidhalilisha Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati alipohutubia kulifungua Bunge Maalumu la Katiba, wiki mbili zilizopita.

 

9 years ago

Habarileo

Warioba afichua siri ya Ukawa

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amefichua siri ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akisema vilikwamisha mchakato huo ili baadaye viingize vipengele vyao wakiingia madarakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lajigeuza Tume ya Warioba

Neville Meena na Fidelis Butahe, Mwananchi Dodoma. Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisema linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya. Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad amesema litaendelea kupokea mapendekezo kutoka kwa watu na...

 

10 years ago

Mwananchi

Ibara 28 za Tume ya Warioba zilizoondolewa

>Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa bungeni juzi, imeondoa Ibara 28 zikiwamo zinazowataka viongozi wa umma kutopokea zawadi kwa manufaa yao binafsi wala kufungua akaunti ya benki nje ya nchi pasipo sababu maalumu, Mwananchi limebaini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tume ya Warioba yavunjwa rasmi

HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ameivunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba, iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Jaji Joseph Warioba. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana jijini Dar es Salaam na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani