Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chenge: Asilimia 75 ya mapendekezo ni ya Tume

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge la Katiba, Andrew Chenge amesema Katiba inayopendekezwa imebeba asilimia 75 ya maudhui ya Rasimu ya iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Siri ya mapendekezo ya Tume ya Warioba

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja mambo manne yaliyoishawishi Tume yake kupendekeza Muungano wa serikali tatu. Mambo hayo ni Tanganyika kuvaa koti la Muungano, kuongezeka kwa mambo ya Muungano, mgongano wa Katiba, michango na gharama za Muungano na mgao wa mapato ambayo alisema yanahatarisha Muungano wa sasa wa serikali mbili.

 

11 years ago

Habarileo

Waagiza mapendekezo ya Tume Nansio kufanyiwa kazi

BARAZA la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza, limeagiza mapendekezo 28 ya tume iliyoundwa kuchunguza tatizo la maji mjini Nansio yafanyiwe kazi.

 

10 years ago

GPL

CHENGE AKATA RUFAA TUME YA MAADILI

Mh.Andrew Chenge akitoa ufafanuzi mbele ya Mwenyekiti wa Tume ya Maadili Jaji Hamis Masami. Baadhi ya viongozi wa Tume ya Maadili sambamba na wanahabari  katika chumba cha mahohojiano.
MHESHIMIWA Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge anayetuhumiwa kwa kashfa ya Escrow jana amekata rufaa mbele ya ya…

 

10 years ago

GPL

CHENGE, CHENGE, CHENGE TENA?

Makala: Ojuku Abraham
KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, aliyekaa katika ofisi hiyo kubwa na yenye heshima, kuanzia mwaka 1993 hadi 2005. Lakini katika nchi ambayo inaendeshwa kwa hila na dili, jina hili linajipatia umaarufu na kuenziwa, bila kujali ni kwa kiasi gani, Watanzania zaidi...

 

9 years ago

Michuzi

Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya uchunguzi wa DNA yaonyesha baba si mzazi halali wa mtoto

Na Beatrice Lyimo-Maelezo
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA)  yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika...

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Februari, 2015. Kulia kwake ni Kaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa kazini wakati Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akizungumza nao leo jijini...

 

10 years ago

Michuzi

UTEUZI KATIKA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Tume ya Utumishi wa Umma na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA).
Katika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe. DKT. STEPHEN JAMES BWANA, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma na BWANA EDRISSA R. MAVURA, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Bw. Mavura ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu.
Sambamba na uteuzi huu, Rais amewateua Makamishna katika...

 

10 years ago

Michuzi

Tume ya Kurekebisha Sheria nchini Uganda Yaitembelea Tume ya Tanzania

Mwenyekiti wa Tume mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkaribisha Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Uganda Bi. Vastina Nsanze na ujumbe wake. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Aloysius Mujulizi akiwa na ujumbe wa Tume ya Kurekebisha Sheria ya Uganda ofisini kwake. Ujumbe wa Tume ukiongozwa na mwenyekiti Mhe. Aloysius Mujulizi ukiwa katika mkutano na wenzao wa Uganda unaoongozwa na Bi. Vastina Nsanze. Ujumbe wa Tume ukiwa katika picha ya pamoja na wenzao wa Uganda (Picha zote na Munir Shemweta LRCT)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani