Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Februari, 2015. Kulia kwake ni Kaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa kazini wakati Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akizungumza nao leo jijini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0‏

 Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.  Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo , wakati akitoa Fahirisi za bei za taifa kwa mwezi Januari, 2015. Kulia ni Kaimu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mfumuko wa bei wabaki kuwa asilimia 6.4 kama ilivyokuwa mwezi Julai, 2015

PICHA NO. 2

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari  jana Jijini Dar es Salaam Kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2015 ambao umebaki kuwa asilimia 6.4 kama ilivyokuwa mwezi Julai mwaka huu. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).

PICHA NO. 1

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari  leo Jijini Dar es Salaam Kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2015 ambao umebaki kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2

Upungufu  wa chakula kwa baadhi ya mikoa nchini umeendelea kusababisha ongezeko la mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 4.2 hadi asilimia 4.2 ndani ya mwezi mmoja.

 

10 years ago

StarTV

Mfumuko wa bei ulipungua na kufikia asilimia 6.1 mwaka jana.

Na Immaculate Kilulya,

Dar Es Salaam.

Mfumuko wa bei wa Taifa mwaka jana umepungua na kufikia asilimia 6.1 kutoka wastani wa asilimia 7.9 mwaka 2013 kutokana na kupungua kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula na zisizo za vyakula.

Miongoni mwa vyakula vilivyopungua ni Mahindi kwa asilimia 11.3, unga wa mahindi asilimia 7.6, Samaki asilimia 4, Ndizi za kupika asilimia 3.2, Mbogamboga asilimia 11.5, Mihogo asilimia 10.5 na Sukari asilimia 4.2.

Kwa upande wa baadhi ya bidhaa zisizo za...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MFUMUKO WA BEI WA MWEZI OKTOBA, 2015

Na Veronica Kazimoto
MFUMUKO wa bei wa Taifa kwa mwezi Oktoba, 2015 umeongezeka hadi kufikia asilimia 6.3 kutoka asilimia 6.1 mwezi Septemba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo amesema kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei kumesababishwa na kupanda kwa bei za bidhaa na huduma zingine za kijamii ikiwemo chakula na nishati.
“Kupanda kwa Mfumuko wa Bei wa mwezi Oktoba, 2015 kumechangiwa na ongezeko la...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ofisi ya Taifa ya Takwimu yasema mfumuko wa bei umeshuka kufikia asilimia 6.1

Mkurugezi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu wa NBS, Ephraim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana kuhusu, Fahirisi za bei za Taifa kwa mwezi Septembva, 2015. 1 Mkurungezi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu wa NBS, Ephraim Kwesigabo.

Taarifa ikichuliwa na wanahabari.

Mwanahabari Hilda kutoka gazeti la Daily News akichukua taarifa hiyo kwa umakini zaidi.

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Na Dotto...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI UMESHUKA KUFIKIA ASILIMIA 6.1

Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya watu Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hapo pichani) juu ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba 2015 umepunguwa hadi asilimia 6.1 kutoka asilimia 6.4 ilivyokuwa mwezi Agosti mwaka huu. Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu, Ephraim Kwesigabo leo Jijini Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA KUHUSU MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI AGOSTI, 2015

 Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Iphrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana kuhusu mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2015. Kulia ni Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei, Ruth Minja. Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Na Dotto MwaibaleUWEZO wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umefikia shilingi 62 na senti 97 mwezi Agosti, 2015 kutoka mwezi Septemba,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumuko wa bei wafikia asilimia 6.5

MFUMUKO wa bei wa taifa umeongezeka na kufikia asilimia 6.5 kutoka asilimia 6.3 Aprili mwaka huu, huku chanzo kikiwa ni upandaji wa bidhaa na huduma. Farihisi za bei nazo zimeongezeka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani