Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2
Upungufu  wa chakula kwa baadhi ya mikoa nchini umeendelea kusababisha ongezeko la mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 4.2 hadi asilimia 4.2 ndani ya mwezi mmoja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mfumuko wa bei wafikia asilimia 6.5
MFUMUKO wa bei wa taifa umeongezeka na kufikia asilimia 6.5 kutoka asilimia 6.3 Aprili mwaka huu, huku chanzo kikiwa ni upandaji wa bidhaa na huduma. Farihisi za bei nazo zimeongezeka...
10 years ago
Michuzi.jpg)
MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
Mfumuko wa bei wabaki kuwa asilimia 6.4 kama ilivyokuwa mwezi Julai, 2015
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini Dar es Salaam Kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2015 ambao umebaki kuwa asilimia 6.4 kama ilivyokuwa mwezi Julai mwaka huu. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2015 ambao umebaki kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Mfumuko wa bei wafikia 6.3%
OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili umeongezeka kwa kiwango cha asilimia 6.3. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Mfumuko wa bei wafikia 6%
OFISI ya Takwimu imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 5.6 hadi asilimia 6.0 kwa kipindi kilichoishia Desemba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
BoT: Mfumuko wa bei wafikia 6%
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza sababu za mfumuko wa bei kufikia asilimia 6.1 na kupanda kwa asilimia 0.1 ikilinganishwa na mwezi uliopita. Akizungumza na Tanzania Daima katika viwanja vya...
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0
9 years ago
Michuzi
MFUMUKO WA BEI WA NOVEMBA UMEONGEZEKA KWA ASILIMIA 6.6


10 years ago
StarTV09 Jan
Mfumuko wa bei ulipungua na kufikia asilimia 6.1 mwaka jana.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Mfumuko wa bei wa Taifa mwaka jana umepungua na kufikia asilimia 6.1 kutoka wastani wa asilimia 7.9 mwaka 2013 kutokana na kupungua kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula na zisizo za vyakula.
Miongoni mwa vyakula vilivyopungua ni Mahindi kwa asilimia 11.3, unga wa mahindi asilimia 7.6, Samaki asilimia 4, Ndizi za kupika asilimia 3.2, Mbogamboga asilimia 11.5, Mihogo asilimia 10.5 na Sukari asilimia 4.2.
Kwa upande wa baadhi ya bidhaa zisizo za...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10