Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya uchunguzi wa DNA yaonyesha baba si mzazi halali wa mtoto

Na Beatrice Lyimo-Maelezo
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA)  yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Asilimia 49 ya wanaume Tanzania, si wazazi halali wa watoto wao

er
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.

Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.

watoto_html_7e868ee4“Kesi zinazopokelewa katika maabara yetu zinazohusu...

 

9 years ago

Bongo5

Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!

Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]

 

10 years ago

Vijimambo

Asilimia 100 ya Tanzania sasa ni digitali

 Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu uhamaji kutoka mfumo wa utangazaji wa Televisheni kwa mfumo wa Analojia kwenda Dijitali ambapo asilimia 100 ya nchi sasa imekuwa Dijitali. Kulia ni Ofisa Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala na Ofisa wa Masafa, Christopher Asenga.  Ofisa wa Masafa wa TCRA, Christopher Asenga (kushoto), akizungumza...

 

9 years ago

Mwananchi

Nape: CCM haijakamilika asilimia 100

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM na mgombea ubunge Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema CCM haijakamilika kwa asilima 100 na kwamba kuna mambo machache ambayo hayako sawa lakini wanayafanyia kazi.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Chanzo ya malaria kufanyakazi kwa asilimia 100

Wakati vifo zaidi ya 700,000 vitokanavyo na Malaria vikitokea ukanda wa Jangwa la Sahara kila mwaka wanasayansi wa Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI) wakishirikiana na kampuni ya Marekani wameanza majaribio ya chanjo mpya inayotarajiwa kuzuia malaria kwa asilimia 100. Awali majaribio ya chanjo hiyo iitwayo Sanaria PfSPZ yalifanyika Marekani na kudaiwa kuwa watu sita wasiougua malaria walijaribiwa na ilifanikiwa kwa asilimia 100 baada ya wote kutoambukizwa ugonjwa huo. Watu hao sita kutoka...

 

10 years ago

GPL

ASILIMIA 100 YA TANZANIA SASA IMEKUWA NI DIJITALI

 Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu uhamaji kutoka mfumo wa utangazaji wa Televisheni kwa mfumo wa Analojia kwenda Dijitali ambapo asilimia 100 ya nchi sasa imekuwa Dijitali. Kulia ni Ofisa Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala na Ofisa wa Masafa, Christopher Asenga. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Asilimia 100 ya Tanzania sasa imekuwa ni dijitali

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu uhamaji kutoka mfumo wa utangazaji wa Televisheni kwa mfumo wa Analojia kwenda Dijitali ambapo asilimia 100 ya nchi sasa imekuwa Dijitali. Kulia ni Ofisa Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala na Ofisa wa Masafa, Christopher Asenga.

Ofisa wa Masafa wa TCRA, Christopher Asenga (kushoto), akizungumza...

 

10 years ago

GPL

Mkude asilimia 100 kuivaa Mtibwa Sugar

Kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude.
Na Wilbert Molandi
KIUNGO mkabaji wa  yupo fiti asilimia 100 kuwavaa Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mkude alikuwa nje ya uwanja kwa wiki moja akiuguza majeraha ya bega aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Yanga iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam iliyomalizika kwa suluhu. Akizungumza na Championi...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU YAKAMILISHA UCHUNGUZI WA MAKUBALIANO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KAMPUNI YA ROM SOLUTIONS KWA ASILIMIA 99.9

Na Yassir Simba, Michuzi Tv
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola na aliyekuwa Kamishina wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Thobias Andengenye pamoja na watumishi wengine wa umma 15 wamekutwa  na tuhuma ya makosa, baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) kukamilisha uchunguzi wa makubaliano ya Jeshi la Zima Moto na Uokoaji na kampuni ya ROM solution kupitia mkataba uliohusu upatikanaji wa mkopo wa Euro 408,416,288.16 ambazo ni sawa shilingi Trilioni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani