Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAKUKURU YAKAMILISHA UCHUNGUZI WA MAKUBALIANO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KAMPUNI YA ROM SOLUTIONS KWA ASILIMIA 99.9

Na Yassir Simba, Michuzi Tv
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola na aliyekuwa Kamishina wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Thobias Andengenye pamoja na watumishi wengine wa umma 15 wamekutwa  na tuhuma ya makosa, baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) kukamilisha uchunguzi wa makubaliano ya Jeshi la Zima Moto na Uokoaji na kampuni ya ROM solution kupitia mkataba uliohusu upatikanaji wa mkopo wa Euro 408,416,288.16 ambazo ni sawa shilingi Trilioni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATHIBITISHA KUVUNJA MKATABA KATI YA JESHI LA ZIMAMOTO NA KAMPUNI YA ROM SOLUTION


Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema imevunja mkataba baina ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Kampuni ya ROM Solution Co. Ltd ambao ulikua wa ununuzi wa vifaa vya jeshi hilo wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Trilioni moja.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe George Simbachawene leo jijini Dodoma ambapo amesema makubaliano hayo yalishavunjwa...

 

11 years ago

Michuzi

JAPAN YATOA MSAADA WA MAGARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kulia) akipokea ufunguo ikiwa ishara ya kukabidhiwa magari matano kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakati wa tafrija fupi ya makabidhiano ya magari hayo kutoka Serikali ya Japan kwa ajili ya kusaidia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika majukumu yake ya kuzima moto na uokoaji nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya Kituo cha Zimamoto Kanda ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mazoezi ya vitendo wakati wa kuhitimisha mafunzo ya awali kwa wahitimu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyofanyika JKT Kimbiji

PIX 1

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamebeba mfano wa majeruhi wa ajali, mara baada ya kumuokoa kutoka eneo la tukio wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya  Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

PIX 2

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya  Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KADIO AKAGUA KIWANJA CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI DODOMA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA MAKAZI YA MAOFISA NA ASKARI WA JESHI HILO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wa kwanza kulia, akitoa maelekezo kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza, pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi hilo, baada ya kumaliza kutembelea Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma, kinachotarajiwa kujengwa Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi hilo, baada ya kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

9 years ago

Michuzi

MAZOEZI YA VITENDO WAKATI WA KUHITIMISHA MAFUNZO YA AWALI KWA WAHITIMU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI YALIYOFANYIKA CHUO CHA UONGOZI JKT KIMBIJI

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamebeba mfano wa majeruhi wa ajali, mara baada ya kumuokoa kutoka eneo la tukio wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi...

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA

Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF) John W. Masunga, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa.
Makamanda walioguswa na mabadiliko hayo ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Zimamoto na Uokoaji (SACF) ABDALLAH MAUNDU anakwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kigoma, kabla ya nafasi hiialikuwa Makao Makuu Dodoma.
Aliyekuwa Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACF) SALUM M. OMARI, anayekwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani