MAZOEZI YA VITENDO WAKATI WA KUHITIMISHA MAFUNZO YA AWALI KWA WAHITIMU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI YALIYOFANYIKA CHUO CHA UONGOZI JKT KIMBIJI
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamebeba mfano wa majeruhi wa ajali, mara baada ya kumuokoa kutoka eneo la tukio wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Mazoezi ya vitendo wakati wa kuhitimisha mafunzo ya awali kwa wahitimu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyofanyika JKT Kimbiji
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamebeba mfano wa majeruhi wa ajali, mara baada ya kumuokoa kutoka eneo la tukio wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MAFUNZO YA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHUO CHA UONGOZI JKT KIMBIJI
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Askari 482 wa Jeshi la Zimamoto wahitimu mafunzo ya awali ya fani hiyo


10 years ago
Michuzi
Tangazo kwa wahitimu wa kidato cha nne, sita na JKT ambao wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Polisi

KILA MMOJA ATATAKIWA KUWA NA NAULI YA KUMWEZESHA KUSAFIRI TOKA MAKAO MAKUU YA MKOA ANAKOANZIA KUSAFIRI HADI SHULE YA POLISI MOSHI NA ATAREJESHEWA NAULI ATAKAPOFIKA...
5 years ago
Michuzi
SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO KAZI NA UONGOZI WA JUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DODOMA


Mkuu wa Kitengo cha Mipango,Utafiti na Takwimu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Msaidizi, Maria Kulaya akizungumza wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu...
5 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU KADIO AKAGUA KIWANJA CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI DODOMA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA MAKAZI YA MAOFISA NA ASKARI WA JESHI HILO

10 years ago
MichuziSHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA JESHI LA MAGEREZA KOZI NA. 27 CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA ZAFANI, JIJINI MBEYA
11 years ago
Michuzi.jpg)
JAPAN YATOA MSAADA WA MAGARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
.jpg)
5 years ago
Michuzi
Kailima Afungua Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma

