SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO KAZI NA UONGOZI WA JUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DODOMA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao Kazi na Uongozi wa juu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Mipango,Utafiti na Takwimu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Msaidizi, Maria Kulaya akizungumza wakati wa Kikao kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO KAZI NA UONGOZI WA JUU WA UHAMIAJI JIJINI DODOMA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao Kazi na Uongozi wa Juu wa Idara ya Uhamiaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt.Anna Makakala, akizungumza wakati wa Kikao Kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani).Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Kulia ni Kamishna wa Utawala na Fedha,Peter Chogero.
5 years ago
MichuziKailima Afungua Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Pichani), akifafanua jambo kwa Viongozi na Wajumbe (hawapo pichani) walioshiriki Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma leo. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima...
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DODOMA LEO
5 years ago
MichuziSIMBACHAWENE AWAAPISHA WATUMISHI WANNE, AONGOZA KIKAO CHA TUME JIJINI DODOMA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi,Uhamiaji na Magereza,George Simbachawene akimuapisha Mrakibu Ali Juma Abdulkadir(kushoto) kuwa mtumishi wa tume hiyo kabla ya kuanza kwa kikao cha tume hiyo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa wizara hiyo,Mtumba jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi,Uhamiaji na Magereza,George...
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU KADIO AKAGUA KIWANJA CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI DODOMA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA MAKAZI YA MAOFISA NA ASKARI WA JESHI HILO
10 years ago
Michuzi30 Jun
10 years ago
Michuzi01 Jul
5 years ago
MichuziSPIKA JOB NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI, AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na waandishi wa habari katika kikao kilichofanyika leo nyumbani kwake uzunguni Jijini Dodoma. Mmoja ya agenda ya kikao hicho ilikuwa ni kupokea Mapendekezo ya Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa 19 wa Bunge.
Wajumbe kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokaa ili kupokea Mapendekezo ya Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa 19 wa Bunge leo nyumbani kwake uzunguni Jijini Dodoma.
5 years ago
CCM BlogSPIKA JOB NDUGA I AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI, AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na waandishi wa habari katika kikao kilichofanyika leo nyumbani kwake uzunguni Jijini Dodoma. Mmoja ya agenda ya kikao hicho ilikuwa ni kupokea Mapendekezo ya Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa 19 wa Bunge.Wajumbe kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokaa ili kupokea Mapendekezo ya Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa 19 wa Bunge leo nyumbani kwake uzunguni Jijini Dodoma.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10