Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHENGE, CHENGE, CHENGE TENA?

Makala: Ojuku Abraham
KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, aliyekaa katika ofisi hiyo kubwa na yenye heshima, kuanzia mwaka 1993 hadi 2005. Lakini katika nchi ambayo inaendeshwa kwa hila na dili, jina hili linajipatia umaarufu na kuenziwa, bila kujali ni kwa kiasi gani, Watanzania zaidi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Chenge

WAKATI Bunge la Katiba linatarajia kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wake, Mbunge wa Bariadi Mashariki, Andrew Chenge, ametajwa kuwa kada anayefaa kuwa mwenyekiti wa Bunge hilo Maalumu la Katiba, Tanzania Daima...

 

10 years ago

Mwananchi

Mazito ya Chenge yaibuka

Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge ameibuliwa tuhuma nzito kwenye Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kudaiwa kuwa aliishawishi kampuni ya Independent Power Solution Limited (IPTL) kuingia mkataba na Tanesco na baadaye kuwa mshauri wa kampuni hiyo binafsi iliyomuingizia Sh1.6 bilioni zinazohusishwa na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

11 years ago

TheCitizen

Chenge’s pledge to CA members

Mr Andrew Chenge has pledged to cooperate with his fellow Constituent Assembly members to ensure Tanzanians get a constitution that will take into consideration the interests of all groups in the country.

 

10 years ago

TheCitizen

It’s now Chenge versus Warioba

At last the Constituent Assembly (CA) has made it. With all ups and downs, it has technically and manipulatively managed to come out with a document that for a while will be known as the Proposed Constitution until a time when it will be voted for or against during a referendum most probably 2016. After that, its name will change to be either a new Constitution of Tanzania or if it is rejected, it will not.

 

10 years ago

Mtanzania

Chenge azua mtafaruku

ChengeNa Samwel Mwanga, Simiyu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshutumu Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) kuwa alitumia bastola yake kupiga risasi juu kuwatawanya wafuasi wa chama hicho waliokuwa katika ofisi za chama mkoani Simiyu na kuzua taharuki kubwa.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Bariadi jana, aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana (BAVICHA), John Heche alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30 eneo la Salunda.
Hata hivyo, madai ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chenge apasua serikali

HATIMAYE Kamati ya Bajeti inayoongozwa na Andrew Chenge, imeutosa kwa muda muswada wa kufuta baadhi ya misamaha ya kodi na ule wa kodi kwa madai haijapata muda wa kuipitia kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Msaada wa Chenge ‘watafunwa’

Wakazi wa vijiji vya Girigu na Bunamhala wilayani Bariadi, wameulaumu uongozi wa kata na wa shule ya Sekondari Giriku kushindwa kusimamia michango ya ujenzi inayotolewa na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wambomoa Chenge

CHAMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimemshukia Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, (CCM), ambako kimevuna wanachama zaidi ya 50 wakiwemo viongozi wake wa vijiji watatu. Aidha, wananchi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Chenge akwama, akata rufaa

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa. Anna Tibaijuka akisalimiana na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge baada ya kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kuhusu sakata la Escrow, Dar es Salaam jana.MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ameendelea kupambana ili Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, lisiendelee kusikiliza shauri lake, licha ya pingamizi lake kutupiliwa mbali jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani