Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chenge azua mtafaruku

ChengeNa Samwel Mwanga, Simiyu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshutumu Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) kuwa alitumia bastola yake kupiga risasi juu kuwatawanya wafuasi wa chama hicho waliokuwa katika ofisi za chama mkoani Simiyu na kuzua taharuki kubwa.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Bariadi jana, aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana (BAVICHA), John Heche alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30 eneo la Salunda.
Hata hivyo, madai ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHENGE, CHENGE, CHENGE TENA?

Makala: Ojuku Abraham
KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, aliyekaa katika ofisi hiyo kubwa na yenye heshima, kuanzia mwaka 1993 hadi 2005. Lakini katika nchi ambayo inaendeshwa kwa hila na dili, jina hili linajipatia umaarufu na kuenziwa, bila kujali ni kwa kiasi gani, Watanzania zaidi...

 

11 years ago

Habarileo

Mtafaruku wazuka Baraza la Madiwani

UTARATIBU wa kuchagua kamati mbalimbali za baraza la madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, limekumbwa na mtafaruku.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mila zazua mtafaruku makaburini

Matafaruku mkubwa umetokea baada ya ndugu wa marehemu, kumpasua tumbo ndugu yao na kumuwekea kifaranga cha kuku wakati akizikwa.

 

11 years ago

GPL

UKAWA YALETA MTAFARUKU MITAANI

Na Waandisihi Wetu HALI si shwari mitaani inapotokea habari ya kuzungumzwa inahusu Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufuatia ajenda yao ya kujiengua kwenye Kikao cha Bunge Maalum la Katiba linaloendelea kwa sasa mjini Dodoma. Waziri mkuu Mizengo Pinda. Hali hiyo imekuja kufuatia Agosti 4, mwaka huu, wakazi wawili wa jijini Dar kutwangana ndani ya baa moja (jina lipo) iliyopo Tabata Kisukuru, Dar kisa kikiwa kila mmoja...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgawanyo wa majimbo Kinondoni wazua mtafaruku

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni limelazimika kupiga kura ili kupitisha mapendekezo ya kuyagawa majimbo ya uchaguzi kutoka matatu ya awali ili yawe matano kama ilivyopendekezwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Mtanzania

Kipigo cha Lipumba chazua mtafaruku

Pg 1upinzani wasimamaNa Waandishi Wetu, Dar na Dodoma

WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, Bunge lilivunja kikao chake baada ya kuibuka mjadala mkali kutoka kwa wabunge wa kambi ya upinzani.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha Bunge baada ya wabunge hao wa upinzani kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili wajadili kitendo cha Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam kumpiga Profesa...

 

11 years ago

Mwananchi

Chopa yazua mtafaruku uchaguzi Kalenga

>Polisi katika Mkoa wa Iringa, imepiga marufuku matumuzi ya helkopta siku ya uchaguzi mdogo wa Kalenga, kwa madai kuwa kufanya hivyo ni sawa na kupiga kampeni.

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA DALADALA DAR WASABABISHA MTAFARUKU WA USAFIRI

Wanafunzi na abiria wakisubiri daladala bila mafanikio maeneo ya Mwenge. Baadhi ya wananchi wanaotumia barabara ya Mwenge-Posta wakitembea kwenda kwenye shughuli zao. Hali…

 

9 years ago

Mtanzania

JK azua taharuki

Pg 4 oct 15NA MWANDISHI WETU, DODOMA

RAIS Jakaya Kikwete, amezua taharuki baada ya kutaja idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuliko waliotajwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Akizungumza mjini Dodoma jana wakati wa kilele cha sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Rais Kikwete alisema Watanzania wanaotarajia kupiga kura kwa upande wa Tanzania Bara ni milioni 28 na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani