Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chopa yazua mtafaruku uchaguzi Kalenga

>Polisi katika Mkoa wa Iringa, imepiga marufuku matumuzi ya helkopta siku ya uchaguzi mdogo wa Kalenga, kwa madai kuwa kufanya hivyo ni sawa na kupiga kampeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Chopa ya Mwigulu yazua maneno

Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiwa hakijaruhusu kampeni, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ambaye amesema ameombwa na wazee na wasomi kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, sasa atazunguka nchi nzima kwa kutumia helikopta kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wananchi.

Hatua hiyo ya Mwigulu, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, ilitangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma jana.

Msukuma alisema ameamua kumpa Mwigulu helikopta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chopa balaa Kalenga

IKIWA imebaki siku moja kabla ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga kufanyika, mvutano mkali kati ya Jeshi la Polisi mkoani Iringa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu ...

 

11 years ago

Mwananchi

Helikopta yazua gumzo Kalenga

Wakazi wa Kijiji cha Ndiwili, Kata ya Magulilwa jimboni Kalenga, juzi walifunga shughuli zote katika kijiji hicho na kujitokeza kwa wingi kushuhudia mkutano wa Chadema ambao viongozi wake walitua katika kijiji hicho kwa kutumia helikopta.

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mh.Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema leo mchana,kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Hill Top Hotel,mjini Iringa kuhusiana na ufafanuzi wa Daftari la Kududumu la Wapiga Kura litakalotumika katika Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika machi 16 mwaka huu.Jaji Lubuva amebainisha kuwa Tume haijafanya Uboreshaji kwa maana ya kuandikisha Wapiga kura wapya ambao hawakuwa...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAWAHAKIKISHIA ULINZI NA USALAMA WANAKALENGA SIKU YA UCHAGUZI ,YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA CHOPA .!

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,Ramadhani Mungi akizungumza na Waandishi wa Habari  kutoka vyombo mbalimbali,mapema leo asubuhi kwenye Ofisi zake,kuhusiana na mambo mbalimbali yaliyohusu kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kalenga,mkoani Iringa. ========   ======  =========== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA
                              Ndugu waandishi wa habari , kwa niaba ya askari Polisi wa Mkoa wa Iringa, nitumie fursa hii...

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI MKUU 2015: MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) YAKATAZA KURUSHA CHOPA BILA KIBALI

UTANGULIZI
Tangazo hili linatolewa kwa lengo la kutoa mwongozo kwa watoa huduma za helikopta, marubani wake na umma kwa ujumla kuhusiana na hatua za kiusalama zinazopaswa kuzingatiwa inapolazimika kutoa huduma ya usafiri wa helikopta hapa nchini, hususan, maeneo ya mbali (vijijini) ambapo huduma za uongozaji ndege hazipo au sio maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya helikopta kutua (mahsusi kwa helikopta au viwanja vya ndege...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) YAKATAZA KURUSHA CHOPA BILA KIBALI KWA WAGOMBEA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015

UTANGULIZITangazo hili linatolewa kwa lengo la kutoa mwongozo kwa watoa huduma za helikopta, marubani wake na umma kwa ujumla kuhusiana na hatua za kiusalama zinazopaswa kuzingatiwa inapolazimika kutoa huduma ya usafiri wa helikopta hapa nchini, hususani, maeneo ya mbali (vijijini) ambapo huduma za uongozaji ndege hazipo au sio maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya helikopta kutua (mahsusi kwa helikopta au viwanja vya ndege kwa ujumla). Tangazo hili limetolewa baada ya Mamlaka kugundua...

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Kalenga na roho iliyo mkononi

Demokrasia ni mfumo wa siasa unaotoa fursa ya watu kuwa na haki ya kuchagua, kuchaguliwa na kuiwakilisha jamii katika ngazi za katika uamuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani