Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Kalenga na roho iliyo mkononi

Demokrasia ni mfumo wa siasa unaotoa fursa ya watu kuwa na haki ya kuchagua, kuchaguliwa na kuiwakilisha jamii katika ngazi za katika uamuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO ROHO MKONONI

Stori:   Erick Evarist MY GOD! Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando anaishi roho mkononi kufuatia madai kwamba kuna watu wanaomsaka wakisemekana wametumwa kuichukua roho yake, Ijumaa Wikienda lina kisa kizima. Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo makini, Rose…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI ROHO MKONONI

MUSA MATEJA NA SIFAEL PAUL TAHADHARI ichukuliwe! Habari zikufikie kuwa, baada ya staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz‘ na mpenzi wake, Zarinah Hassani ‘Zari’, kuhamia kwenye mjengo wake mpya uliopo Madale jijini Dar, imebainika kuwa familia hiyo inaishi roho mkononi kufuatia ulinzi sifuri, jambo linalowafanya kuishi kwa hofu tupu, Ijumaa Wikienda linakuhabarisha. Nyumba mpya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakimbizi wanavyoishi ‘roho mkononi’ Kigoma

>Licha ya taasisi za kimataifa, Serikali na wadau wengine wa maendeleo kutoa misaada, hali katika kambi za wakimbizi mkoani Kigoma ni mbaya kutokana na mlipuko wa magonjwa, uhaba wa chakula, malazi na mavazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukichukua fedha benki sasa ni roho mkononi

Ni roho mkononi. Hayo ndiyo maneno matatu yanayofaa kuelezea hali ilivyo jijini Dar es Salaam na maeneo kadhaa nchini kwa sasa, hasa pale mtu anapobeba fedha nyingi.

 

10 years ago

GPL

MSIMU WA SIKUKUU ROHO MKONONI MABASI YATEKWA, WANAWAKE WABAKWA

Stori  Mwandishi Wetu, Mwanza
Roho mkononi! Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza. Polisi wakiwa eneo la tukio. Miongoni mwa magari yaliyotekwa, mawili yalikuwa ni mabasi ya abiria, Super Najmnisa na Princess...

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mh.Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema leo mchana,kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Hill Top Hotel,mjini Iringa kuhusiana na ufafanuzi wa Daftari la Kududumu la Wapiga Kura litakalotumika katika Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika machi 16 mwaka huu.Jaji Lubuva amebainisha kuwa Tume haijafanya Uboreshaji kwa maana ya kuandikisha Wapiga kura wapya ambao hawakuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKI ILIYO CHELEWESHWA NI HAKI ILIYO NYIMWA"

NDG. ZUBERI M. SAMATABA, KAIMU KATIBU MKUU- OWM-TAMISEMI AKIFUNGUA MKUTANO HUO WA SIKU TATU.
 MR. ONOUR OZLY- MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA, ALIPOKUWA AKITOA MALEZO MAFUPI KUHUSU LENGO LA  JANE JACOB- MWAKILISHI WA DANIDA ALIPOKUWA AKITOA SALAM ZA DANIDA KATIKA KIKAO CHICHO.
 WASHIRIKI WA MKUTANO HUO WAKIFURAHIA JAMBO WAKATI WA MKUTANO HUO.MHANDISI EZEKIELI MAGOTI KUNYALANYALA, AKIWASILISHA MADA KATIKA KIKAO HICHO.

Atley Kuni- Afisa habari Mwanza.
Halmashauri za majiji na manispaa zimehimizwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Ubunge kufanyika leo Kalenga

Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Kalenga, Iringa unafanyika leo huku kukiwa na masuala yenye utata ambayo huenda yakasababisha malalamiko baada ya matokeo kutangazwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani