Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Ubunge kufanyika leo Kalenga

Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Kalenga, Iringa unafanyika leo huku kukiwa na masuala yenye utata ambayo huenda yakasababisha malalamiko baada ya matokeo kutangazwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,MGOMBEA UBUNGE WA CCM AKIJINADI KWA WANANCHI LEO KIJIJI CHA SADAN-IRINGA VIJIJINI


Msikilize Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akijinadi jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sadani kata ya Mseke,Iringa Vijijini.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ATUA KALENGA LEO,AMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia chama hicho cha CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za lala salama,uliofanyika leo jioni katika kijiji cha Magulilwa kata ya Magulilwa,Iringa vijijini.
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mh.Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema leo mchana,kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Hill Top Hotel,mjini Iringa kuhusiana na ufafanuzi wa Daftari la Kududumu la Wapiga Kura litakalotumika katika Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika machi 16 mwaka huu.Jaji Lubuva amebainisha kuwa Tume haijafanya Uboreshaji kwa maana ya kuandikisha Wapiga kura wapya ambao hawakuwa...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA


Mgombea Ubunge Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa  akiwa amebebwa na wafuasi wa chama hicho jana usiku katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Iringa baada kutangazwa matokeo ya awali yasiyo rasmi .Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi wa kishindo kwa kushinda kata zote 13 zilizoko kwenye jimbo hilo la Kalenga.  =======  =====  ======= Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga Iringa vijijini yametangazwa rasmi jana usiku...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAFUNGA KAZI YA KAMPENI ZA UBUNGE JUMBONI KALENGA LEO

Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kuhudhuria ma maelfu ya wananchi, kwenye Uwanja wa Mnada, Kijiji cha Kidamali, Kata ya Nzihi.  Picha na Bashir Nkoromo

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:Matokeo ya Awali yasiyo rasmi kutoka vituo mbalimbali uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Kalenga.


TOSA no.1 
CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0 Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0 Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0
Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0 Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0 Zahanati  CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1 Ifunda Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0 Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1 Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0
Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0 Ikungwe A CCM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0 Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani