Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukichukua fedha benki sasa ni roho mkononi

Ni roho mkononi. Hayo ndiyo maneno matatu yanayofaa kuelezea hali ilivyo jijini Dar es Salaam na maeneo kadhaa nchini kwa sasa, hasa pale mtu anapobeba fedha nyingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI ROHO MKONONI

MUSA MATEJA NA SIFAEL PAUL TAHADHARI ichukuliwe! Habari zikufikie kuwa, baada ya staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz‘ na mpenzi wake, Zarinah Hassani ‘Zari’, kuhamia kwenye mjengo wake mpya uliopo Madale jijini Dar, imebainika kuwa familia hiyo inaishi roho mkononi kufuatia ulinzi sifuri, jambo linalowafanya kuishi kwa hofu tupu, Ijumaa Wikienda linakuhabarisha. Nyumba mpya ya...

 

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO ROHO MKONONI

Stori:   Erick Evarist MY GOD! Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando anaishi roho mkononi kufuatia madai kwamba kuna watu wanaomsaka wakisemekana wametumwa kuichukua roho yake, Ijumaa Wikienda lina kisa kizima. Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo makini, Rose…

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Kalenga na roho iliyo mkononi

Demokrasia ni mfumo wa siasa unaotoa fursa ya watu kuwa na haki ya kuchagua, kuchaguliwa na kuiwakilisha jamii katika ngazi za katika uamuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakimbizi wanavyoishi ‘roho mkononi’ Kigoma

>Licha ya taasisi za kimataifa, Serikali na wadau wengine wa maendeleo kutoa misaada, hali katika kambi za wakimbizi mkoani Kigoma ni mbaya kutokana na mlipuko wa magonjwa, uhaba wa chakula, malazi na mavazi.

 

10 years ago

GPL

MSIMU WA SIKUKUU ROHO MKONONI MABASI YATEKWA, WANAWAKE WABAKWA

Stori  Mwandishi Wetu, Mwanza
Roho mkononi! Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza. Polisi wakiwa eneo la tukio. Miongoni mwa magari yaliyotekwa, mawili yalikuwa ni mabasi ya abiria, Super Najmnisa na Princess...

 

10 years ago

Raia Mwema

Sasa roho yangu imetulia

WAKATI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005, Rais Jakaya Kikwete, alivuma sana na alipendwa na watu wen

Privatus Karugendo

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr sasa roho kwatu Msimbazi

simba-sports-club-212NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, ameanza kujivunia kikosi chake kuwa kwa sasa kipo imara na kinaweza kumpatia matokeo mazuri kwenye mechi zilizobakia za Ligi Kuu Tanzania Bara kama ilivyokuwa mkakati wake.

Simba hivi karibuni ilifanikiwa kuifunga Kimbunga FC ya Zanzibar kwa mabao 5-2, ikiwa ni mchezo wao wa kwanza wa majaribio tangu ligi isimame, kesho itajipima tena na timu nyingine visiwani humo.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kerr alisema kadiri...

 

11 years ago

Mwananchi

Simu za mkononi sasa kuwafikia wanavijiji

 Jumla ya Kata 86 zenye vijiji 511 na wakazi wapatao 600,000 nchini wanatarajiwa kupata huduma za mawasiliano ya simu za mkononi hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu baada ya jana Serikali kuwekeana mkataba na kampuni tano za huduma za simu za mkononi.

 

9 years ago

Mwananchi

Simu za mkononi sasa ni zaidi ya mawasiliano

Uzoefu unaonyesha teknolojia ya simu za mkononi bado haijawawezesha Watanzania wengi kuzitumia katika masuala ya kimaendeleo hasa katika kurahisisha maisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani