Mgawanyo wa majimbo Kinondoni wazua mtafaruku
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni limelazimika kupiga kura ili kupitisha mapendekezo ya kuyagawa majimbo ya uchaguzi kutoka matatu ya awali ili yawe matano kama ilivyopendekezwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Aug
Mgawanyo wa majimbo waibeba Chadema
UMOJA wa vyama vinne vya upinzani (Ukawa), umetoa rasmi mgawanyo wake wa majimbo ya ubunge kwa upande wa Tanzania Bara, baada ya kukubaliana, ambapo Chadema kimeongoza kwa kuwa na majimbo mengi kuliko vyama vingine.
10 years ago
GPL
MGAWANYO RASMI WA MAJIMBO YA UKAWA
11 years ago
Habarileo21 Sep
Mgawanyo wa halmashauri kuzaa majimbo ya uchaguzi
WILAYA ya Kahama huenda ikapata jimbo jipya la uchaguzi kutokana na kuonekana kuna mwingiliano na utata mkubwa katika usimamizi wa uchaguzi katika baadhi ya kata baada ya kugawanywa kwa halmashauri tatu hivi karibuni ndani ya majimbo mawili ya uchaguzi.
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Majimbo ya Ubungo, Kinondoni, na Kawe jijini Dar es Salaam
10 years ago
Vijimambo
MAMA SAMIA KATIKA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE



10 years ago
GPL
HAPA KAZI TU YA MAMA SAMIA YATIKISA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.
CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.
Tathmini ya Upigaji Kura
Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Chenge azua mtafaruku
Na Samwel Mwanga, Simiyu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshutumu Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) kuwa alitumia bastola yake kupiga risasi juu kuwatawanya wafuasi wa chama hicho waliokuwa katika ofisi za chama mkoani Simiyu na kuzua taharuki kubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Bariadi jana, aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana (BAVICHA), John Heche alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30 eneo la Salunda.
Hata hivyo, madai ya...
10 years ago
Habarileo29 Oct
CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.