CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi25 Aug
CCM yashinda majimbo matano
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.
CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.
Tathmini ya Upigaji Kura
Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...
9 years ago
Habarileo26 Oct
Chadema yatwaa majimbo matatu, CCM manne
Mchuano mkali wa kuwania majimbo 266 ya Tanzania unaonekana ukiwa kati ya chama tawala, CCM na Chadema ambapo hadi mchana huu CCM ilikuwa imejikingia majimbo manne wakati Chadema ikijinyakulia majimbo matatu.
Kwa upande wa CCM, imejipatia majimbo ya Lindi Mjini, Mbinga Mjini, Mbinga Vijijini na Nanyamba wakati Chadema imejihakikishia ushindi katika majimbo ya Tarime Mjini, Tunduma na Buyungu.
Tutaendelea kukujulisha kulingana na matokeo unavyoyapata.
9 years ago
Habarileo18 Aug
Mgawanyo wa majimbo waibeba Chadema
UMOJA wa vyama vinne vya upinzani (Ukawa), umetoa rasmi mgawanyo wake wa majimbo ya ubunge kwa upande wa Tanzania Bara, baada ya kukubaliana, ambapo Chadema kimeongoza kwa kuwa na majimbo mengi kuliko vyama vingine.
9 years ago
Habarileo28 Oct
Majimbo ya Kilombero na Mlimba yaenda Chadema
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Morogoro kimepata majimbo mawili hadi sasa ambayo ni Mlimba na Kilombero.
9 years ago
Habarileo24 Aug
CUF na Chadema Moro wavutana kuachiana majimbo
CHAMA cha Wananchi (CUF) katika wilaya ya Morogoro Vijijini kichama na Kilosa mkoa wa Morogoro, kimejikuta kikiingia kwenye mvutano mkubwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutokana na kushindwa kuachiana majimbo ya uchaguzi wa ubunge.
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Chadema wayawinda majimbo ya Spika Makinda, Filikunjombe
10 years ago
Mwananchi12 Apr
Chadema kutumia chopa tano kutetea majimbo ya Kaskazini
9 years ago
Mwananchi28 Oct
CCM, Ukawa waporana majimbo