Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema kutumia chopa tano kutetea majimbo ya Kaskazini

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza mkakati wake katika Uchaguzi Mkuu kwa Mkoa wa Arusha, lengo likiwa ni kuzoa majimbo na kata zote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KAMPENI: Chadema wasafiri kwa chopa kusaka majimbo Kanda ya Ziwa

>Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Ziwa Magharibi, kimeanzisha operesheni maalumu kwa ajili ya kusaka ubunge katika majimbo yote yaliyoko kwenye kanda hiyo ambayo yanashikiliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Mwananchi

Bavicha kutumia chopa kupinga Katiba mikoani

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la vijana, kimetangaza kuzindua Bavicha Operesheni itakayohusisha matumizi ya chopa kuzunguka katika mikoa ya kanda za Kati na Magharibi kueneza ujumbe wa kuikataa Katiba Inayopendekezwa sambamba na kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Nyalandu atangazwa kutetea nafasi yake ya ubunge jimbo la Singida kaskazini

IMG_0213

Mbunge mteule wa jimbo la Singida kaskazini, Lazaro Samwel Nyalandu (katikati) akiwa amepumzika akisubiri kutangazwa kwa matokeo ya nafasi ya ubunge leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida vijijini, Naruba Hanje na kulia ni Shyrose Matembe anayewania nafasi ya ubunge viti maalum mkoa wa Singida.

IMG_0239

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Singida kaskazini, Hajat Farida Mwasumilwe, akimkabidhi cheti cha kuthibitishwa kuwa mbunge, Lazaro Samwel Nyalandu leo.

IMG_0249

Mbunge mteule Lazaro Samwel...

 

10 years ago

Michuzi

nyalandu arudi jimboni kutetea kiti chake cha ubunge singida kaskazini

 Waziri wa Maliasili na Utalii ambayre ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro nyalandu akizungumza katika kijiji cha Muvae wilayani Singida juzi alipokwenda kutangaza nia ya kutetea kiti chake katika uchaguzi mkuu ujao. Waziri wa Maliasili na Utalii ambayre ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro nyalandu akizungumza katika kijiji cha Muvae wilayani Singida juzi alipokwenda kutangaza nia ya kutetea kiti chake katika uchaguzi mkuu ujao. Waanchi wa kijiji cha Muvae wakimsikiliza Waziri wa...

 

9 years ago

Habarileo

CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtifuano mkubwa majimbo ya Kigoma Kaskazini, Kusini, Muhambwe na Buyungu

KIGOMA KASKAZINI Tuliangalie jimbo hili tangu mwanzo wa mfumo wa vyama vingi. Mwaka 1995 wananchi wa Kigoma Kaskazini waliamini watachagua upinzani, hasa NCCR –Mageuzi. Kwa bahati mbaya matokeo yalipotangazwa, mgombea wa CCM alishinda kwa kura kidogo, huku kura zake zikizidiwa mbali na mchanganyiko wa kura za mgombea wa NCCR-Mageuzi na vyama vingine vya upinzani.

 

11 years ago

Habarileo

Uchaguzi Chadema: Slaa, Mbowe kutetea nafasi zao

Mkurugenzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Singo KigailaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa rasmi ratiba yake ya uchaguzi wa ndani, ambapo viongozi wa taifa wa chama hicho, akiwemo mwenyekiti na katibu mkuu wapya wanatarajiwa kutangazwa Septemba 11, mwaka huu.

 

10 years ago

Bongo5

Korea Kaskazini yaishutumu US kusambaza Ebola na kutumia Afrika kama sehemu ya kujaribia silaha hiyo ya Kibailojia

Koreas Kaskazini imeishutumu Marekani kwa kusambaza makusudi virusi vya ugonjwa wa Ebola na kwamba inatengeneza silaha hiyo ya kibailojia ili kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani. Taifa hilo limelazimika kufunga mipaka yake kuzuia watalii ikiwa ni pamoja na kumtenga kila anayeingia. Ripoti ya Korean Central News Agency (KCNA) inadai kuwa aliyekuwa msaidizi wa Rais wa […]

 

11 years ago

GPL

CHADEMA YATANGAZA WAGOMBEA WA UDIWANI KANDA YA KASKAZINI

TAARIFA KWA UMMA WAGOMBEA WA UDIWANI – KANDA YA KASKAZINI Tarehe 15 Januari 2014, wagombea wafuatao wa CHADEMA walipitishwa na TUME YA UCHAGUZI kuwania nafasi za uwakilishi (UDIWANI) katika maeneo ya kata mbalimbali za kanda ya Kaskazini. Wagombea hawa walipita katika mchujo wa uteuzi wa chama. Chama kina matarajio makubwa sana kuwa wananchi wa maeneo haya ya kata hizi watapata fursa nzuri ya kuwachagua wagombea wa CHADEMA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani