Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Chadema: Slaa, Mbowe kutetea nafasi zao

Mkurugenzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Singo KigailaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa rasmi ratiba yake ya uchaguzi wa ndani, ambapo viongozi wa taifa wa chama hicho, akiwemo mwenyekiti na katibu mkuu wapya wanatarajiwa kutangazwa Septemba 11, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

11 years ago

GPL

FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA UENYEKITI CHADEMA

Freeman Mbowe akiwasalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema. Freeman Mbowe ameshinda tena nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa baada ya kupata jumla ya kura 789 huku mpinzani wake Ngambaranyela Mongatero akipata kura 20. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakifuatilia…

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA MBOWE AMJIBU DR SLAA,SIKILIZA HAPA ALICHOMJIBU


Katika video hii Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe amemjia juu Dr. Slaa huku akisema chama hicho hakito yumba kwani ni mali ya wananchi. 

 

11 years ago

Mwananchi

Msajili: Mbowe, Dk Slaa hawana sifa kugombea tena Chadema

>Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa hawana sifa za kugombea tena uongozi wa chama hicho kwa kuwa wanabanwa na katiba yao.

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA tawi la MAREKANI yakanusha Taarifa kuhusu kuwapokea Dr Wilbroad Slaa na Mheshimiwa Freeman Mbowe hapa

Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Washington DC, Kalley Pandukizi  (kulia) akiwa na Katibu wa chama hicho, Ndugu Libe Mwang'ombe (katikati) alipotoa kadi rasmi kwa Beautician maarufu na designer Mtanzania, Linda Bezuidenhout (kushoto). Picha ya Maktaba.Napenda kuchukua nafasi hii kukanusha taarifa ya uongo na uzushi iliyoenezwa kupitia mitandao ya kijamii leo tarehe 18 Septemba 2015 iliyoanzia kwenye JamiiForums yenye kichwa cha habari “Mbowe asalimu amri kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA WATAMKUMBUKA DK SLAA MARA BAADA YA UCHAGUZI


Jana katika mahojiano na Tiddo Muhando kwenye kipindi cha Funguka, Zitto Kabwe amewaonya wana CHADEMA wanaomtusi Dr Slaa kwa sababu ya Lowassa kuwa watamkumbuka baada ya uchaguzi. Watu makini kama Dr Slaa na Prof Lipumbawanaondoka na watu eti wanamuona Lowassa leo kawa bora?
Zitto kasema hivi sasa CHADEMA msingi wake umekuwa ni "Lowassa" na si kupambana na ufisadi tena. Baada ya uchaguzi hakutakuwa na CHADEMA ile tuliyoifahamu na ndipo hapo watanzania watakapomkumbuka Dr Slaa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tanzania 2020: Chadema imepata nafasi kurudi katika umaarufu kuelekea uchaguzi mkuu?

Faini imewaepusha na mtego wa kupoteza uhuru,ubunge na sifa za kugombea uchaguzi ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni kutetea nafasi yake?

Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaochukua fomu kuwania nafasi ya uongozi ndani ya chama tawala, Uganda

 

10 years ago

Dewji Blog

Nyalandu atangazwa kutetea nafasi yake ya ubunge jimbo la Singida kaskazini

IMG_0213

Mbunge mteule wa jimbo la Singida kaskazini, Lazaro Samwel Nyalandu (katikati) akiwa amepumzika akisubiri kutangazwa kwa matokeo ya nafasi ya ubunge leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida vijijini, Naruba Hanje na kulia ni Shyrose Matembe anayewania nafasi ya ubunge viti maalum mkoa wa Singida.

IMG_0239

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Singida kaskazini, Hajat Farida Mwasumilwe, akimkabidhi cheti cha kuthibitishwa kuwa mbunge, Lazaro Samwel Nyalandu leo.

IMG_0249

Mbunge mteule Lazaro Samwel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani