Bavicha kutumia chopa kupinga Katiba mikoani
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la vijana, kimetangaza kuzindua Bavicha Operesheni itakayohusisha matumizi ya chopa kuzunguka katika mikoa ya kanda za Kati na Magharibi kueneza ujumbe wa kuikataa Katiba Inayopendekezwa sambamba na kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Apr
Chadema kutumia chopa tano kutetea majimbo ya Kaskazini
11 years ago
Tanzania Daima11 May
BAVICHA kuanika msimamo kuhusu katiba
MWENYEKITI wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, amepanga kuweka msimamo wa baraza hilo kuhusu katiba kesho. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Heche alisema...
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
BAVICHA: Watanzania kataeni Katiba pendekezwa mwakani
BARAZA la Vijana la Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limewataka Watanzania kuunganisha nguvu pamoja kuikataa Katiba Mpya iliyopendekezwa, kwani haina maslahi ya wananchi badala yake imewapendelea watuhumiwa...
10 years ago
Habarileo27 Jan
Askofu: Katiba Pendekezwa isambazwe haraka mikoani
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Masasi, James Almas ameitaka serikali kusambaza haraka mikoani Katiba Inayopendekezwa ili iweze kuwafikia wananchi kwa wakati muafaka.
10 years ago
Habarileo09 Oct
Waandika ukutani kupinga Katiba
WATU wasiofahamika, usiku wa kuamkia jana wameandika maneno kwenye kuta ukiwemo ukuta wa Kampuni ya Bakhressa katika maeneo ya Tazara wakidhihaki Katiba Inayopendezwa sanjari na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.
11 years ago
Habarileo03 Jun
Mwigulu kupinga Bunge la Katiba
MJADALA wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuibuka upya wakati Bunge la Bajeti likienda ukingoni ambapo Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba ameibuka na hoja ya kupinga nyongeza ya siku 60 za Bunge hilo.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Mtikila asisitiza kupinga Bunge la Katiba
10 years ago
Habarileo06 Sep
Uamuzi kupinga Bunge la Katiba Sept 15
MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 15, mwaka huu, kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma.
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Arfi kupinga Bunge la Katiba mahakamani
![Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Said-Arfi.jpg)
Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi
Na Elizabeth Hombo, Dodoma
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amesema ana mpango wa kwenda mahakamani ili kupata ufafanuzi wa mahakama juu ya uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tu baada ya mwandishi wa habari, Said Kubenea chini ya wakili, Peter Kibatala kufungua kesi mahakamani kutaka Bunge la Katiba lisitishwe.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa...