Mwigulu kupinga Bunge la Katiba
MJADALA wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuibuka upya wakati Bunge la Bajeti likienda ukingoni ambapo Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba ameibuka na hoja ya kupinga nyongeza ya siku 60 za Bunge hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania25 Aug
Arfi kupinga Bunge la Katiba mahakamani

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi
Na Elizabeth Hombo, Dodoma
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amesema ana mpango wa kwenda mahakamani ili kupata ufafanuzi wa mahakama juu ya uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tu baada ya mwandishi wa habari, Said Kubenea chini ya wakili, Peter Kibatala kufungua kesi mahakamani kutaka Bunge la Katiba lisitishwe.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa...
11 years ago
Habarileo06 Sep
Uamuzi kupinga Bunge la Katiba Sept 15
MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 15, mwaka huu, kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Mtikila asisitiza kupinga Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi23 Sep
Mahakama yaridhia TLS kupinga Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar
11 years ago
Mwananchi03 Oct
TLS yafungua kesi kupinga Bunge la Katiba J’tatu
11 years ago
Mwananchi25 Aug
Arfi naye kwenda kortini kupinga Bunge la Katiba
11 years ago
Mtanzania22 Aug
Mnyika: Chadema tunajiandaa na maandamano kupinga Bunge la Katiba

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Michael Sarungi na Grace Shitundu, Dar es Salaama
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya maandamano ya kupinga vikao vya Bunge Maalamu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.
Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) kumuagiza Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, kurudi katika meza ya mazungumzo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kunusuru mchakato wa Katiba...
11 years ago
Mwananchi01 Sep
CUF kuandamana siku tatu kupinga Bunge la Katiba