Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtikila asisitiza kupinga Bunge la Katiba

Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, amesema mpango wake wa kwenda mahakamani ili kupinga mchakato wa Katiba Mpya, bado uko palepale na kwamba anajipanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila kufungua kesi kupinga Katiba Mpya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila anatarajia kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kuendelea kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtikila acharuka Bunge la Katiba

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amesema atajiuzulu ujumbe katika Bunge Maalumu la Katiba na kwenda mahakamani kama wajumbe wenzake watakataa kuirejesha Tanganyika. Mchungaji Mtikila aliyeteuliwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika asisitiza Bunge la Katiba kusitishwa

>Wakati hatima ya Bunge Maalumu la Katiba ikisubiri mkutano wa  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TDC) kesho, Mbunge wa Ubungo John Mnyika amesema sala ambazo Watanzania wanatakiwa kuomba ili kikao hicho kiweze kuwa  na mafaniko zigeuzwa, badala yake waombe kusitishwa Bunge hilo .

 

11 years ago

Mwananchi

Mtikila, Makaidi, Kingunge ‘waliteka’ Bunge la Katiba

>Wajumbe watatu wa Bunge Maalumu la Katiba wamekuwa kivutio katika ndani na nje ya Bunge hilo linaloendelea mjini Dodoma.

 

11 years ago

Habarileo

Mwigulu kupinga Bunge la Katiba

MJADALA wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuibuka upya wakati Bunge la Bajeti likienda ukingoni ambapo Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba ameibuka na hoja ya kupinga nyongeza ya siku 60 za Bunge hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kupinga Bunge la Katiba Sept 15

MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 15, mwaka huu, kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma.

 

10 years ago

Mtanzania

Arfi kupinga Bunge la Katiba mahakamani

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi

Na Elizabeth Hombo, Dodoma

MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amesema ana mpango wa kwenda mahakamani ili kupata ufafanuzi wa mahakama juu ya uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tu baada ya mwandishi wa habari, Said Kubenea chini ya wakili, Peter Kibatala kufungua kesi mahakamani kutaka Bunge la Katiba lisitishwe.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yaridhia TLS kupinga Bunge la Katiba

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeipa kibali Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar

 Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama Kuu Moshi na wananchi wawili wakitaka kusimamishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya likiwamo Bunge la Maalumu la Katiba, sasa imehamishiwa Jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani