Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uamuzi kupinga Bunge la Katiba Sept 15

MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 15, mwaka huu, kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kesi kupinga Bunge Maalum leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Mwigulu kupinga Bunge la Katiba

MJADALA wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuibuka upya wakati Bunge la Bajeti likienda ukingoni ambapo Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba ameibuka na hoja ya kupinga nyongeza ya siku 60 za Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Ole Telele: Busara zitangulie uamuzi Bunge la Katiba

Mbunge wa Bunge Maalumu la Katiba, Saning’o Ole Telele amemshauri Mwenyekiti wa Bunge la Katiba na wajumbe kutumia busara zaidi katika kufikia maamuzi akibainisha kuwa vurugu zilizotokea mapema wiki hii zilisababishwa na tatizo la ukosefu wa busara.

 

10 years ago

Mwananchi

Uamuzi mgumu,Rais hataongeza muda Bunge la Katiba

>Makubaliano baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kutaka Bunge Maalumu lifikie ukomo Oktoba 4, mwaka huu yamezua sintofahamu mjini hapa huku uamuzi huo ukionekana kuwachanganya viongozi wa Bunge hilo.

 

10 years ago

KwanzaJamii

Uamuzi Mgumu, Rais Hataongeza Muda Bunge la Katiba

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, John Cheyo akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari, alipokuwa akitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba na Uchaguzi Mkuu wa 2015, mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Na Daniel Mjema na Sharon Sauwa, Mwananchi Dodoma. Makubaliano baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kutaka Bunge Maalumu lifikie ukomo Oktoba 4, mwaka huu yamezua sintofahamu mjini hapa huku uamuzi huo ukionekana...

 

10 years ago

Mtanzania

Arfi kupinga Bunge la Katiba mahakamani

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi

Na Elizabeth Hombo, Dodoma

MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amesema ana mpango wa kwenda mahakamani ili kupata ufafanuzi wa mahakama juu ya uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tu baada ya mwandishi wa habari, Said Kubenea chini ya wakili, Peter Kibatala kufungua kesi mahakamani kutaka Bunge la Katiba lisitishwe.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtikila asisitiza kupinga Bunge la Katiba

Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, amesema mpango wake wa kwenda mahakamani ili kupinga mchakato wa Katiba Mpya, bado uko palepale na kwamba anajipanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar

 Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama Kuu Moshi na wananchi wawili wakitaka kusimamishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya likiwamo Bunge la Maalumu la Katiba, sasa imehamishiwa Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yaridhia TLS kupinga Bunge la Katiba

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeipa kibali Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga Bunge la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani