Mtikila, Makaidi, Kingunge ‘waliteka’ Bunge la Katiba
>Wajumbe watatu wa Bunge Maalumu la Katiba wamekuwa kivutio katika ndani na nje ya Bunge hilo linaloendelea mjini Dodoma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Mtikila acharuka Bunge la Katiba
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amesema atajiuzulu ujumbe katika Bunge Maalumu la Katiba na kwenda mahakamani kama wajumbe wenzake watakataa kuirejesha Tanganyika. Mchungaji Mtikila aliyeteuliwa na...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Mtikila asisitiza kupinga Bunge la Katiba
11 years ago
GPLKINGUNGE: WANAOPONDA UTEUZI WANGU BUNGE LA KATIBA WAMEUMBUKA
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Wanafunzi waliteka bunge Taiwan
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Kingunge ataka wanaomshambulia Warioba Bunge la #Katiba sasa ‘waufyate’ [VIDEO]
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Mtikila, Kingunge kivutio bungeni
WAJUMBE wawili wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombare-Mwiru (CCM) na Mchungaji Christopher Mtikila (DP), wamekuwa kivutio kwa wajumbe wenzao wakati wa kuapishwa kutokana na misimamo yao. Mtikila amekuwa na...
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila
HATIMAYE tumebakiwa na takriban wiki mbili tu kabla ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika hapo Ok
Evarist Chahali
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Makaidi apendekeza Bunge livunjwe
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Dk. Emmanuel Makaidi, amependekeza kuvunjwa kwa Bunge hilo kwa madai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinavuruga bunge hilo kutokana na kujipendelea. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA