KINGUNGE: WANAOPONDA UTEUZI WANGU BUNGE LA KATIBA WAMEUMBUKA
Kingunge Ngombale Mwiru. Na Mwandishi Wetu, Dodoma Veterani wa siasa nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amesema kuwa wote walioponda uteuzi wake katika Bunge la Katiba, wameumbuka na sasa anachokitazama ni kuijenga nchi imara kupitia Katiba Mpya. Kigunge alisema, habebwi na Rais Jakaya Kikwete na kwamba tamko la Chama cha Waganga wa Jadi nchini kuwa yeye ndiye mwakilishi wao, limewaumbua wote waliokuwa wanaponda uteuzi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Mtikila, Makaidi, Kingunge ‘waliteka’ Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi23 Jan
JK kukamilisha uteuzi wa Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba wapondwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcLmiyXMxfKpAPcF5poTBl8sS8P1018L8mQ0ZTMclMl3rxPrgB0v6jcB2wbpUusb9ttbnL0NTfVjmWwK5o63RDJS/wajumbe.jpg?width=650)
UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
JUKATA yalalamikia uteuzi Bunge la Katiba
JUKWAA la Katiba (JUKATA) limesema uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete umewapendelea zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uteuzi huo uliotangazwa mwishoni...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Kingunge ataka wanaomshambulia Warioba Bunge la #Katiba sasa ‘waufyate’ [VIDEO]
11 years ago
Habarileo18 Feb
ALAT walia kuachwa uteuzi Bunge la Katiba
JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), imedai haikutendewa haki kwa kutoshirikishwa na kupewa nafasi ya uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba. Madai hayo yametolewa wakati ambapo tayari Bunge hilo limeanza rasmi mkutano wake mjini Dodoma.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kd73LQSybdo/UwNVKi9BisI/AAAAAAAFNyQ/emfkmYBa4os/s72-c/534807487.jpg)
UWT YAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-kd73LQSybdo/UwNVKi9BisI/AAAAAAAFNyQ/emfkmYBa4os/s1600/534807487.jpg)
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) umempongeza Mhe. Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwa uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza leo Mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Eva Mwingizi ilisema uteuzi wa Rais umezingatia umri, weledi, uzoefu na uwakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii.
Mwingizi alisema uteuzi huo umeangalia asilimia 50 ya...