UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcLmiyXMxfKpAPcF5poTBl8sS8P1018L8mQ0ZTMclMl3rxPrgB0v6jcB2wbpUusb9ttbnL0NTfVjmWwK5o63RDJS/wajumbe.jpg?width=650)
Wanahabari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba yakitangazwa jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jijini Dar es Salaam. Bunge la Katiba litakalokuwa na wajumbe 640, litakutana kwa siku 70 (na kuongezewa siku 20 kama hawatoafikiana) kujadili Rasimu ya Katiba iliyotolewa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba wapondwa
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0528.jpg?width=650)
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi26 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba
![Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/m8cdBlx8iECl07lgecM4ereL6z_GbOh3tUadh62rn422chXgPsPTnJHdcv-x1j1MxWBmgSOvMIDVuzErtbHqt1mSo93mbA_UpwfgTJ76vkNQlCJekyo=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0134.jpg)
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Qh13ySPsV1yD99prfBkyxntjJa03R9Yw8Qlnu3rxYw5IJd4RTvkGetB-ckBG38daGLR0Gv9VcYWSzA-4tviSK0dxCp7LVSV5Ye1r3cIUkK_1qZJ3m4um=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01911.jpg)
11 years ago
Michuzi20 Feb
taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-jyUmlW2B5UM/UwYVaXuz21I/AAAAAAACprg/y0XD14-INGE/s1600/mtanda.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-15UcnFNNLik/UwYVcoRJp-I/AAAAAAACprw/eOOpdzCRJHA/s1600/WMK.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-FJdD5nbXlWw/UwYVS8qkz6I/AAAAAAACprY/5a9HX2w8teI/s1600/2B.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gb_hmItxCFM/U_yjdqFoofI/AAAAAAAGCiU/p2LUak-hf6c/s72-c/unnamed%2B(23).jpg)
Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kd73LQSybdo/UwNVKi9BisI/AAAAAAAFNyQ/emfkmYBa4os/s72-c/534807487.jpg)
UWT YAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-kd73LQSybdo/UwNVKi9BisI/AAAAAAAFNyQ/emfkmYBa4os/s1600/534807487.jpg)
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) umempongeza Mhe. Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwa uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza leo Mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Eva Mwingizi ilisema uteuzi wa Rais umezingatia umri, weledi, uzoefu na uwakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii.
Mwingizi alisema uteuzi huo umeangalia asilimia 50 ya...