Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK kukamilisha uteuzi wa Bunge la Katiba

Rais Jakaya Kikwete, wiki ijayo atakamilisha uteuzi wa majina ya wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, uteuzi unaoashiria kuanza kwa bunge hilo litakalokuwa na wajumbe 640.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba wapondwa

Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kufanya uteuzi wa majina ya Wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, wasomi, wanasiasa na wanaharakati wameuponda wakisema umependelea wanasiasa, badala ya wananchi walio nje ya mfumo huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JUKATA yalalamikia uteuzi Bunge la Katiba

JUKWAA la Katiba (JUKATA) limesema uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete umewapendelea zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uteuzi huo uliotangazwa mwishoni...

 

11 years ago

GPL

UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Wanahabari wakimsikiliza  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe.  Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba  yakitangazwa jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jijini Dar es Salaam. Bunge la Katiba litakalokuwa na wajumbe 640, litakutana kwa siku 70 (na kuongezewa siku 20 kama hawatoafikiana)  kujadili Rasimu ya Katiba iliyotolewa na...

 

11 years ago

Habarileo

ALAT walia kuachwa uteuzi Bunge la Katiba

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), imedai haikutendewa haki kwa kutoshirikishwa na kupewa nafasi ya uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba. Madai hayo yametolewa wakati ambapo tayari Bunge hilo limeanza rasmi mkutano wake mjini Dodoma.

 

11 years ago

GPL

KINGUNGE: WANAOPONDA UTEUZI WANGU BUNGE LA KATIBA WAMEUMBUKA

Kingunge Ngombale Mwiru. Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Veterani wa siasa nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amesema kuwa wote walioponda uteuzi wake katika Bunge la Katiba, wameumbuka na sasa anachokitazama ni kuijenga nchi imara kupitia Katiba Mpya. Kigunge alisema, habebwi na Rais Jakaya Kikwete na kwamba tamko la Chama cha Waganga wa Jadi nchini kuwa yeye ndiye mwakilishi wao, limewaumbua wote waliokuwa wanaponda uteuzi...

 

11 years ago

Michuzi

UWT YAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

Na Anna Nkinda – Maelezo
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT)  umempongeza Mhe. Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwa uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza leo Mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Eva Mwingizi ilisema uteuzi wa Rais umezingatia umri, weledi, uzoefu na uwakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii.
Mwingizi alisema uteuzi huo umeangalia asilimia 50 ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Malecela: Siku 60 hazitoshi kukamilisha Katiba Mpya

>Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela amesema siku 60 zilizotengwa kukamilisha mchakato wa Katiba Mpya kabla ya kupelekwa kwa wananchi hazitoshi kwa kazi hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani