Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi waliteka bunge Taiwan

Mamia ya wanafunzi nchini Taiwan wamevamia na kuliteka bunge la nchi hiyo kupinga kile wanachosema ni mkataba wa kibiashara kati ya nchi hiyo na China.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtikila, Makaidi, Kingunge ‘waliteka’ Bunge la Katiba

>Wajumbe watatu wa Bunge Maalumu la Katiba wamekuwa kivutio katika ndani na nje ya Bunge hilo linaloendelea mjini Dodoma.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wataka mwafaka Bunge Maalum

MTANDAO wa Wanafunzi Nchini (TSNP) umewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuondoa tofauti zao na kuridhiana kupata Katiba bora badala ya kuoneshana ubabe.

 

11 years ago

Michuzi

Mtanzao wa Wanafunzi Nchini wawataka Wajumbe wa Bunge la Katiba kufikia Muafaka

MTANDAO wa wanafunzi nchini (TSNP) Umetoa tamko dhidi ya mwenendo wa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Tanzania.
Mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa wanafunzi Bwana Alphonce Lusako ametoa tamko hilo katika mkutano ulioudhuriwa na  waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Lusako ametoa ombi kwa vyama vyote vya siasa kurudi bungeni na kufanya maridhiano ili tuweze kupata katiba mpya ambayo itasaidia kuokoa mabilioni ya fedha za watanzania ambazo zimekwisha tumika katika mchakato wa kutafuta...

 

11 years ago

GPL

MILIPUKO YA GASI YAUA 22 TAIWAN

Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Biashara ya Taiwan na Uchina yapingwa

Makumi ya maelfu ya raia wa Taiwan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Taipei ili kupinga makubaliano ya kibiashara na Uchina.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Taiwan yaangukia mtoni

Ndege inayoimilikiwa na Shirika la Ndege la Taiwan, la TransAsia imepata ajali na kuangukia kwenye mto katika mji mkuu, Taipei.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA NDEGE YAUA 51 TAIWAN

Taswira kutoka eneo la ajali. Vikosi vya uokoaji vikiwa eneo la tukio. TAKRIBANI watu 51 wamepoteza maisha huku saba wakijeruhiwa baada ya ndege waliyokuwemo kuanguka iliposhindwa kutua kwa dharura huko Taiwan, nchini China. Ndege hiyo ya Shirika la TransAsia iliyokuwa imebeba watu 58 imeanguka eneo la Kaohsiung,…

 

10 years ago

BBCSwahili

Pikipiki ya kielektroniki kuuzwa Taiwan

Pikipiki ya kielektroniki ilio na betri zinazoweza kubadilishwa inatarajiwa kuuzwa nchini Taiwan kwa bei ya dola 4,140.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya 500 wajeruhiwa na moto Taiwan

Zaidi ya watu 500 wamejeruhiwa kufuatia kutokea kwa mlipuko na moto kwenye bustani moja nchini Taiwan

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani