Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya 500 wajeruhiwa na moto Taiwan

Zaidi ya watu 500 wamejeruhiwa kufuatia kutokea kwa mlipuko na moto kwenye bustani moja nchini Taiwan

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MOTO WAJERUHI 500 NCHINI TAIWAN

Majeruhi katika ajali hiyo wakipatiwa huduma ya kwanza. WATU zaidi ya 500 wamejeruhiwa kufuatia kutokea mlipuko na moto kwenye bustani moja ya burudani nchini Taiwan mapema leo. Zaidi, ingia hapa:====>>http://wp.me/p6irf2-2cm Rais wa Taiwan, Ma Ying-jeou (katikati) akiongea na mmoja wa majeruhi aliyelazwa hospitalini baada…

 

10 years ago

Habarileo

Askari16 zaidi JWTZ wajeruhiwa DRC

Kaimu Msemaji wa jeshi hilo, Meja Joseph MasanjaJESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekiri kupokea taarifa za askari wawili waliouawa Mei 5, mwaka huu na wengine 16 kujeruhiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

 

9 years ago

Michuzi

WATU SABA WAFARIKI DUNIA KWA KUUNGUA NA MOTO NA WENGINE KUMI WAJERUHIWA

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma Ferdnand Mtui  akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) juu ya ajali ya moto iliyotokea Mkoani Kigoma. Majeruhi wakiendelea kupatiwa huduma katika wodi namba saba hospitali ya Mkoa wa Kigoma. Majeruhi wakiendelea kupatiwa huduma ya matibabu katika wodi namba saba hospitali ya Mkoa wa Kigoma.
                                               Na Editha Karlo wa blog wa jamii,Kigoma
WATU saba wamefariki duniani na wengine kumi wamejeruhiwa katika ajali...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU ZAIDI YA 25 WAJERUHIWA VIBAYA KATIKA AJALI YA COSTA SENJELE MBEYA.






Baadhi ya majeruhi wakitafuta mizigo yao mara baada ya kutoka ndani ya basi hilo



Baadhi ya majeruhi wakitoka ndani ya basi hilo.Picha na Mbeya yetu














Baadhi ya abilia wakitaka kumpiga Dereva wagari ya aina ya Suzuki kuwa yeye ndio alisababisha ajali hiyo kwa kuyumbayumba kwake barabarani



Moja ya wasamaria wema akiwazuia abiria wenye hasira kali kutaka kumpiga mzee huyo Mwenye Suzuki ambae alijulikana kwa jina moja tu mzee Mtawa

Mwandishi wa habari Kenneth Mwazembeakiwasili katika Hospitali ya...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: ZAIDI ya abiria 40 Wajeruhiwa ajalini mkoano Kilimanjaro jioni ya leo

ZAIDI ya abiria 40 waliokuwa katika basi la Urio linalofanya safari zake kati ya mikoa ya Arusha na Lushoto-Tanga wamejeruhiwa vibaya baada ya basi hilo kupinduka wakati likijaribu kukwepa basi jingine katika makutano ya barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio,inaeleza kwamba ajali hiyo ilitokea majira ya saa 10 jioni jirani kabisa na kituo cha mafuta kilichopo kando ya barabara ya Moshi-Arusha wakati magari hayo yakijiandaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu zaidi ya 2,500 wafukiwa na kifusi

Watu zaidi ya 2,500 wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na mmomonyoko wa ardhi Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo katika Jimbo la Badakhshan.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya vijana 500 wakamatwa Tanzania

Zaidi ya Vijana 500 wamekamatwa wakihusishwa na vitendo vya uhalifu kwa makundi jijini Dar es Salaam

 

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA 500 WASHINDWA KUPIGA KURA

 Msimamizi msaidizi wa uchaguzi kitongoji cha Msikitini kwenye Kijiji cha Mbwewe wilaya ya Bagamoyo Said Mlinde kulia akiongea na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete alipotembela kituo hicho kushuhudia zoezi la upigaji kura.msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura Kitongoji cha Mkwajuni kwenye Kijiji cha Miono wilaya ya Bagamoyo Faustina Oforo  akisubiria wapiga kura wa uchaguzi wa vitongoji, vijiji na mitaa uchaguzi uliofanyika juzi.
Na John Gagarini, Bagamoyo.HUKU uchaguzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU 10 WAFARIKI NA WENGINE ZAIDI YA 40 WAJERUHIWA KWENYE AJALI YA BASI LA UNIQUE NA LORI MKOANI SHINYANGA

 Winchi likinyanyua basi baada ya ajali ambapo watu 10 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kutokana na ajali ya basi la Unique na lori kugongana uso kwa uso  mkoani Shinyanga leo. Zoezi la kunyanyua mabaki ya basi hilo likiendeleaWinchi likiwa kazini huku wanahabari wkirekodi tukio la kunyanyuliwa basi hilo.

CHANZO: MICHUZI BLOG

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani