WATU 10 WAFARIKI NA WENGINE ZAIDI YA 40 WAJERUHIWA KWENYE AJALI YA BASI LA UNIQUE NA LORI MKOANI SHINYANGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qBhMF00X2eM/VTfR9P-ys1I/AAAAAAAHSl8/WI1Qs9Kgv3Q/s72-c/unnamed%2B(50).jpg)
Winchi likinyanyua basi baada ya ajali ambapo watu 10 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kutokana na ajali ya basi la Unique na lori kugongana uso kwa uso mkoani Shinyanga leo.
Zoezi la kunyanyua mabaki ya basi hilo likiendelea
Winchi likiwa kazini huku wanahabari wkirekodi tukio la kunyanyuliwa basi hilo.
CHANZO: MICHUZI BLOG
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Apr
Breaking News: Watu 10 wafariki dunia katika ajali ya basi Shinyanga na 51 wajeruhiwa
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidizi, Justus Kamugisha.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Habari zilizotufikia hivi punde katika chumba cha Modewji blog ni kuwa bado jeshi la Polisi na wasamaria wema wanaendelea kuokoa majeruhi na maiti wa ajali ya gari iliyotokea muda wa masaa mawili yaliyopita kwa kuuhusisha basi la Unique namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Watu 11 wafariki ajali ya basi, 55 wajeruhiwa
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/OX-i6slHCw0/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GxEmomufk0E/Xpa1__UdKbI/AAAAAAAEGuc/NI5mxhcw8TEKXBekpL3bOAFy1rfSCtgCgCLcBGAsYHQ/s72-c/pic%252Bajali.jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: WATU 18 WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 15 WAJERUHIWA KWA AJALI WILAYANI MKURANGA.
Watu 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahewa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Kamanda Lyanga amesema kuwa ajali hiyo imetokea leo Jumatano Aprili 15, 2020 na kwamba imehusisha lori na gari la abiria aina ya Toyota Coaster.“Ni Kweli tuko kwenye eneo la tukio, ajali imetokea na imesababisha vifo vya watu 18 na majeruhi 15,” amebainisha...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/78albYJ5oUk/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Watu 7 wafariki na wengine 10 kujeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Kigoma
Majeruhi wa ajari ya gari kuwaka moto Mkoani Kigoma akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa ya Maweni (Picha na Emmanuel Senny).
Majeruhi wa ajari ya gari kuwaka moto Mkoani Kigoma akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa ya Maweni (Picha na Emmanuel Senny).
Majeruhi wa ajari ya gari kuwaka moto Mkoani Kigoma, wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa ya Maweni (Picha na Emmanuel Senny).
Majeruhi wa ajali ya gari kuwaka moto Mkoani Kigoma akipatiwa matibabu katika Hospitali ya...
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Maafa Shinyanga *Barafu yafunika kijiji, watu 42 wafariki dunia *Zaidi ya 91 wajeruhiwa, mamia wasombwa na maji *Nyumba zabomolewa, mifugo mingi nayo yafa
Paul Kayanda na Kadama Malunde, Kahama
WATU 42 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 91 wamejeruhiwa vibaya baada ya mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kunyesha katika Kijiji cha Mwakata, Kata ya Isaka, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Pamoja na vifo hivyo, nyumba za makazi na majengo ya taasisi mbalimbali, yamebomolewa na mafuriko yaliyosababishwa mawe kusambaa kijiji kizima.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, aliiambia MTANZANIA kwa simu jana kwamba zaidi ya kaya 100...
10 years ago
Michuzi01 Jul
NEWS ALERT: WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA TRENI MKOANI MOROGORO LEO ALFAJIRI
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Ajali ya basi yaua wanne, wengine 40 wajeruhiwa