Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Biashara ya Taiwan na Uchina yapingwa

Makumi ya maelfu ya raia wa Taiwan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Taipei ili kupinga makubaliano ya kibiashara na Uchina.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Sherehe ya nyama ya mbwa Uchina yapingwa

Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama.

 

10 years ago

Mwananchi

Mipaka mipya ya majimbo yapingwa

Chama cha NCCR Mageuzi Zanzibar kimetangaza mpango wa kufungua kesi Mahakama Kuu kupinga kazi ya kurekebisha mipaka ya majimbo inayofanywa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).

 

10 years ago

Mwananchi

Makundi kushawishi wagombea yapingwa

Matukio ya kuibuka makundi ya kijamii kuwashawishi makada wa CCM watangaze nia ya kuwania urais Oktoba mwaka huu, yameibua mjadala miongoni mwa wasomi na wanasiasa wengi wakipinga mbinu hiyo na kushauri wagombea waachwe waamue bila kushinikizwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kodi ya internet yapingwa Hungary

Maelfu ya waandamanaji wametaka kusitishwa kwa sheria iliyopendekezwa ya kutoza kodi matumizi ya internet nchini Hungary.

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yapingwa dhidi ya Ukraine

Viongozi wa kundi la G7 wamefungua mkutano wao wa mwaka nchini Ujerumani kusini,wakipinga vitendo vya Urusi kwa nchi ya Ukraine.

 

11 years ago

Habarileo

500/- kwa milo 3 ya wafungwa yapingwa

BAJETI ndogo ya chakula cha wafungwa ya Sh 500 kwa siku, maslahi madogo pamoja na makazi duni kwa askari walio chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, vimevaliwa njuga na wabunge ambao wametaka Serikali iiongezee wizara fedha katika bajeti ijayo.

 

9 years ago

GPL

SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO YAPINGWA MAHAKAMANI

Mkurugenzi wa THRDC, Onesmo Olengurumwa. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kutetea haki za binadamu leo wamefungua kesi ya Kikatiba kupinga baadhi ya vipengele katika Sheria ya Makosa ya Mitandao. Vipengele vinavyopigwa ni kifungu cha 4, 5 na 45 (4) cha Sheria ya Makosa ya Mitandaoni ambacho kinazuia haki ya kupata na kutoa taarifa ambacho kinakinzana na Ibara ya 18 ya Katiba...

 

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, TFF yapingwa

Uamuzi wa Shirikisho la Soka  Tanzania (TFF) kuteua timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars umepokewa kwa hisia tofauti na wadau mbalimbali wa soka nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Sifa ya kidato cha nne kuwa Mbunge yapingwa

KAMATI nyingi za Bunge Maalumu la Katiba, zimekataa sifa ya elimu ya kidato cha nne, kuwa kigezo cha msingi cha mgombea ubunge, kwa madai kuwa inabagua wananchi kwa kuondoa haki yao ya kidemokrasia ya kuomba kupigiwa kura na kupiga kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani