Uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, TFF yapingwa
Uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuteua timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars umepokewa kwa hisia tofauti na wadau mbalimbali wa soka nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 May
Kikosi cha Taifa stars chatangazwa
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bQw76IDvqZI/U9gEHMRynuI/AAAAAAAF7u0/EvD1Se2ih54/s72-c/Taifa-stars.jpg)
KIKOSI CHA TAIFA STARS KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-bQw76IDvqZI/U9gEHMRynuI/AAAAAAAF7u0/EvD1Se2ih54/s1600/Taifa-stars.jpg)
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itawasili saa 9 asubuhi kesho (Julai 30 mwaka huu) kwa ndege ya Fastjet kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, na baadaye jioni kuunganisha safari ya Afrika Kusini.
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya...
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Kikosi cha wachezaji 25 wa Algeria wanaokuja kuivaa Taifa Stars, Novemba 14!
Algeria imetangaza kikosi cha wachezaji 25 wanaokuja Tanzania kwa ajili ya mchezo dhidi ya Taifa Stars wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia Urusi 2018.
Kikosi hicho ni kama ifuatavyo: Walinda mlango: Rais M’Bolhi (Antalyaspor / Uturuki), Azzedine Doukha (JS Kabylie), Malik Asselah (CR Belouizdad).
Viungo: Mehdi Zeffane (Rennes / Ufaransa), Mohamed Khoutir Ziti (JS Kabylie), Faouzi Ghoulam (Napoli / Italia), Djamel Mesbah (Sampdoria / Italia), Carl Medjani (Trabzonspor /...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bRRgQskcmmM/VUtVkBdLwVI/AAAAAAAHV-I/SmEAtIe2wFU/s72-c/kochaaaa.jpg)
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28
![](http://3.bp.blogspot.com/-bRRgQskcmmM/VUtVkBdLwVI/AAAAAAAHV-I/SmEAtIe2wFU/s640/kochaaaa.jpg)
Tanzania (Taifa Stars), Mart NooijKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam, kujiandaa na michuano ya kombe la COSAFA na kuwania kufuzu kwa AFCON na CHAN mwezi Juni mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF amesema, wachezaji 28 aliowaita, amewaona kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mY3_Ij3IJEE/Vc0J6SmJlvI/AAAAAAAHwdM/lT3T5FuPmNc/s72-c/unnamed%2B%252827%2529.jpg)
Shirika La Bima La Taifa (NIC) ladhamini kipindi cha “Stars Kwanza Tusonge Mbele” kilichobuniwa na 93.7 EFM radio na TFF
![](http://1.bp.blogspot.com/-mY3_Ij3IJEE/Vc0J6SmJlvI/AAAAAAAHwdM/lT3T5FuPmNc/s640/unnamed%2B%252827%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi15 Oct
TFF YAUNDA KAMATI YA TAIFA STARS
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/VDWXDz51q26oe_9JNibFJZXIod4Vn1gVggGo3yWDMM_pJDRgmYtxnollbmcZR9xQ4D9nR3OezpqXClM8jw=s0-d-e1-ft#http://tff.or.tz/images/malinziArst.png)
Katika kuimarisha maandalizi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) kuelekea katika mashindano mbalimbali ikiwemo mechi mbili za ugenini na nyumbani dhidi ya Algeria, Rais wa TFF Jamal Malinzi ameunda kamati maalum itakayoitwa “Kamati ya Taifa Stars” ambayo majukumu yake yatakua:(i) Kuimarisha huduma kwa wachezaji,(ii) Uhamasishaji na Masoko,(iii) Kuhamasisha wachezaji,(iv) Kuandaa na kusimamia mkakati wa Ushindi.
Kamati hii itaongozwa na Mwenyekiti Farough Baghouzah, Teddy Mapunda (Katibu), Wajumbe...
11 years ago
Mwananchi26 Feb
FAT ah! TFF yateua Taifa Stars
9 years ago
Habarileo17 Nov
TFF, Kamati Taifa Stars zatofautiana
SHIRIKI la Soka Tanzania (TFF) na Kamati ya Taifa Stars zimetofautiana katika kauli zao kuhusu kiasi cha fedha watakachopewa wachezaji baada ya kutoka sare ya 2-2 na Algeria Jumamosi. Taifa Stars na Algeria zilipambana kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Dunia.