TFF YAUNDA KAMATI YA TAIFA STARS
Katika kuimarisha maandalizi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) kuelekea katika mashindano mbalimbali ikiwemo mechi mbili za ugenini na nyumbani dhidi ya Algeria, Rais wa TFF Jamal Malinzi ameunda kamati maalum itakayoitwa “Kamati ya Taifa Stars” ambayo majukumu yake yatakua:(i) Kuimarisha huduma kwa wachezaji,(ii) Uhamasishaji na Masoko,(iii) Kuhamasisha wachezaji,(iv) Kuandaa na kusimamia mkakati wa Ushindi.
Kamati hii itaongozwa na Mwenyekiti Farough Baghouzah, Teddy Mapunda (Katibu), Wajumbe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo17 Nov
TFF, Kamati Taifa Stars zatofautiana
SHIRIKI la Soka Tanzania (TFF) na Kamati ya Taifa Stars zimetofautiana katika kauli zao kuhusu kiasi cha fedha watakachopewa wachezaji baada ya kutoka sare ya 2-2 na Algeria Jumamosi. Taifa Stars na Algeria zilipambana kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Dunia.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nFHVtrUNAOw/VaZeS3OJnXI/AAAAAAAHp5I/dK3zUDeH4OY/s72-c/tff-logo-230x130.jpg)
TFF YAUNDA KAMATI YA USHAURI YA LIGI
![](http://2.bp.blogspot.com/-nFHVtrUNAOw/VaZeS3OJnXI/AAAAAAAHp5I/dK3zUDeH4OY/s1600/tff-logo-230x130.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ni Alhaj Ahmed Mgoyi na katibu wa Kamati ni mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi nchini (TPLB) na wajumbe wengine saba.
1. Alhaji Ahmed Idd Mgoyi (Mwenyekiti)2. Boniface Wambura (Katibu)3. Kennedy Mwaisabula- Mjumbe4. Idd Mshangama- Mjumbe5. Amiri Mhando- Mjumbe6. Grace Hoka- Mjumbe7. Ibrahim Kaude (Vodacom)- Mjumbe8. Baruan Muhuza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dNrwMj2cLWc/Xk4OOTYxnlI/AAAAAAALeZg/p_AzkXLoTPcHcQ3RKwSDyI-FaIkfuaaogCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
TFF YAUNDA KAMATI MPYA YA KUSIMAMIA MIRADI UJENZI VITUO VYA MICHEZO KIGAMBONI NA TANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dNrwMj2cLWc/Xk4OOTYxnlI/AAAAAAALeZg/p_AzkXLoTPcHcQ3RKwSDyI-FaIkfuaaogCLcBGAsYHQ/s320/index.jpg)
Kabla ya kuunda Kamati hiyo, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni QS Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan,...
5 years ago
Michuzi11 years ago
Mwananchi26 Feb
FAT ah! TFF yateua Taifa Stars
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Kamati Taifa Stars yavunjwa
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, jana imevunjwa rasmi baada ya kumaliza kazi yao iliyokuwa inawakabili ya kuhamasisha mechi dhidi ya Algeria.
Kamati hiyo iliyoundwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ilikuwa na kazi ya kuhakikisha Taifa Stars inafanya vema kwenye michuano ya kuwania kufuzu kwa kombe la dunia 2018 nchini Urusi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Farough Baghouzah,...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, TFF yapingwa
9 years ago
Habarileo16 Oct
Taifa Stars yaundiwa kamati ya ushindi
KATIKA kuhakikisha timu ya soka ya Tanzania inafanya vizuri katika kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2017 na fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 nchini Urusi, kamati maalumu ya ushindi imeundwa kuisaidia timu hiyo.
9 years ago
Michuzi20 Oct
KAMATI YA TAIFA STARS YATAMBULISHWA RASMI
![](http://tff.or.tz/images/starscommittee.png)