Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikosi cha wachezaji 25 wa Algeria wanaokuja kuivaa Taifa Stars, Novemba 14!

Algeria Team Picture (Top) Hassen Yebda, Madjid Bougherra, Faouzi Chaouchi, Rafik Halliche, Hameur Bouazza, Abdelkader Ghezzal (Bottom) Karim Matmour, Yazid Mansouri, Abdelkader Laifaoui, Nadir Belhadj, Karim Ziani, ©Gavin Barker/Backpagepix

Algeria imetangaza kikosi cha wachezaji 25 wanaokuja Tanzania kwa ajili ya mchezo dhidi ya Taifa Stars wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia Urusi 2018.

Kikosi hicho ni kama ifuatavyo: Walinda mlango: Rais M’Bolhi (Antalyaspor / Uturuki), Azzedine Doukha (JS Kabylie), Malik Asselah (CR Belouizdad).

Viungo: Mehdi Zeffane (Rennes / Ufaransa), Mohamed Khoutir Ziti (JS Kabylie), Faouzi Ghoulam (Napoli / Italia), Djamel Mesbah (Sampdoria / Italia), Carl Medjani (Trabzonspor /...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Stars kuivaa Algeria Novemba 14

Timu ya Taifa ya Tanzania itajitupa uwanja Novemba 14 kukipiga na timu ya taifa ya Algeria

 

10 years ago

Michuzi

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28


Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya
Tanzania (Taifa Stars), Mart NooijKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam, kujiandaa na michuano ya kombe la COSAFA na kuwania kufuzu kwa AFCON na CHAN mwezi Juni mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF amesema, wachezaji 28 aliowaita, amewaona kwa...

 

10 years ago

Michuzi

KOCHA NOOIJ KUTAJA KIKOSI CHA STARS NOVEMBA 4

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij keshokutwa (Novemba 5 mwaka huu) atatangaza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) itakayochezwa ugenini Novemba 16 mwaka huu.
Nooij atatangaza kikosi hicho mbele ya waandishi wa habari katika mkutano utakaofanyika saa 4.30 asubuhi kwenye ofisi za TFF zilizoko ghorofa ya tatu, Jengo la PPF Tower jijini Dar es Salaam.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itacheza na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikosi cha Taifa stars chatangazwa

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 .

 

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars kuivaa Malawi Novemba 7 Dar

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuwa na pambano la kirafiki dhidi ya wenzao wa Malawi Novemba 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, TFF yapingwa

Uamuzi wa Shirikisho la Soka  Tanzania (TFF) kuteua timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars umepokewa kwa hisia tofauti na wadau mbalimbali wa soka nchini.

 

11 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA TAIFA STARS KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI KESHO

Msafara wa watu 27 wa kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kinaondoka kesho (Julai 30 mwaka huu) saa 10 jioni kwa ndege ya Air Tanzania kwenda Afrika Kusini ambapo kitapiga kambi ya siku mbili kabla ya kuingia Maputo kuikabili Msumbiji (Mambas).
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itawasili saa 9 asubuhi kesho (Julai 30 mwaka huu) kwa ndege ya Fastjet kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, na baadaye jioni kuunganisha safari ya Afrika Kusini.
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MKWASA AITA 28 STARS KUIVAA ALGERIA

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa jana ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakoingia kambini Jumapili jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14 jijini Dar es salaam, na marudiano kufanyika Novemba 17 nchini Algeria.Akiongea na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Mkwasa amesema kikosi chake hicho kitaweka kambi nchini Omani kwa takribani siku 10 kujiandaa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani