Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars kuivaa Algeria Novemba 14

Timu ya Taifa ya Tanzania itajitupa uwanja Novemba 14 kukipiga na timu ya taifa ya Algeria

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kikosi cha wachezaji 25 wa Algeria wanaokuja kuivaa Taifa Stars, Novemba 14!

Algeria Team Picture (Top) Hassen Yebda, Madjid Bougherra, Faouzi Chaouchi, Rafik Halliche, Hameur Bouazza, Abdelkader Ghezzal (Bottom) Karim Matmour, Yazid Mansouri, Abdelkader Laifaoui, Nadir Belhadj, Karim Ziani, ©Gavin Barker/Backpagepix

Algeria imetangaza kikosi cha wachezaji 25 wanaokuja Tanzania kwa ajili ya mchezo dhidi ya Taifa Stars wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia Urusi 2018.

Kikosi hicho ni kama ifuatavyo: Walinda mlango: Rais M’Bolhi (Antalyaspor / Uturuki), Azzedine Doukha (JS Kabylie), Malik Asselah (CR Belouizdad).

Viungo: Mehdi Zeffane (Rennes / Ufaransa), Mohamed Khoutir Ziti (JS Kabylie), Faouzi Ghoulam (Napoli / Italia), Djamel Mesbah (Sampdoria / Italia), Carl Medjani (Trabzonspor /...

 

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars kuivaa Malawi Novemba 7 Dar

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuwa na pambano la kirafiki dhidi ya wenzao wa Malawi Novemba 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

MKWASA AITA 28 STARS KUIVAA ALGERIA

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa jana ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakoingia kambini Jumapili jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14 jijini Dar es salaam, na marudiano kufanyika Novemba 17 nchini Algeria.Akiongea na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Mkwasa amesema kikosi chake hicho kitaweka kambi nchini Omani kwa takribani siku 10 kujiandaa na...

 

9 years ago

Michuzi

STARS KUCHEZA MCHEZO WA MARUDIANO NOVEMBA 17 MWAKA HUU ALGERIA

TIMU ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, inatarajiwa kusafiri na ndege ya binafsi ya kukodi ya shirika la Fastjet kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano utakaochezwa Novemba 17 mjini Algiers.Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fasjet kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Jimmy Kibati amesema kampuni yao imefikia makubaliano na TFF ya kuwa msafirishaji rasmi wa timu ya Taifa kwa ajili ya mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa fainali za...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA Vs ALGERIA NOVEMBA 14

Mchezo wa hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia ziakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Algeria (The Fox Desert) utafanyika tarehe 14 Novemba, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.Kikosi cha Stars chini ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MECHI KATI YA TANZANIA NA ALGERIA KUCHEZWA NOVEMBA 14 MWAKA HUU

 Mchezo wa hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Algeria (The Fox Desert) utafanyika tarehe 14 Novemba, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 

Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.
Kikosi cha Stars chini ya...

 

9 years ago

Habarileo

Stars ya kuivaa Malawi yatajwa

KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoikabili Malawi, The Flames katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018, kimetangazwa kikiwa hakina mabadiliko na kilichoikabili Nigeria katika kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017.

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars kuivaa Zambia

>Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) leo ina kazi moja tu kusaka ushindi ili kuwapa raha Watanzania itakapokabiliana na Zambia (Shepolopolo)  katika pambano la kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Afrika litakalopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Stars kuivaa tena Malawi

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mechi ya kirafiki na timu ya Malawi ‘The Flames’ Jumanne jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani