Twiga Stars kuivaa Zambia
>Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) leo ina kazi moja tu kusaka ushindi ili kuwapa raha Watanzania itakapokabiliana na Zambia (Shepolopolo)Â katika pambano la kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Afrika litakalopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-C4HOIEtg7z4/Uvtq9qQykuI/AAAAAAAFMi0/dq3GcSGKAak/s72-c/TanzaniaFootballFederation.jpg)
TWIGA STARS IKO VIZURI KUIVAA ZAMBIA- KOCHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-C4HOIEtg7z4/Uvtq9qQykuI/AAAAAAAFMi0/dq3GcSGKAak/s1600/TanzaniaFootballFederation.jpg)
Akizungumza kwenye hafla ya kuiaga timu hiyo iliyofanyika leo (Februari 12 mwaka huu) kwenye ofisi za TFF jijini Dar es Salaam, Kocha Kaijage amesema wachezaji wake wako vizuri, ingawa hakuwa tayari kutoa ahadi kuhusu matokeo.
“Vijana wako vizuri, lakini sitaki kutoa ahadi....
9 years ago
Habarileo28 Oct
Twiga Stars kuivaa Malawi Novemba 7 Dar
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuwa na pambano la kirafiki dhidi ya wenzao wa Malawi Novemba 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Twiga Stars yafungwa Zambia
TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, juzi ilianza vibaya kampeni ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Afrika (AWC), baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Zambia ‘Shepolopolo’...
11 years ago
TheCitizen13 Feb
Twiga Stars plot Zambia downfall
10 years ago
TheCitizen22 Mar
Twiga Stars out to silence Zambia team
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Twiga Stars kuwavaa Zambia Feb. 15
TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’, inatarajia kushuka dimbani kuivaa Zambia Februari 15, katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya michuano ya mchujo ya Afrika...
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Twiga Stars kuelekea Zambia kesho
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Twiga Stars vs Zambia hakuna kiingilio
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema hakuna kiingilio katika mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC), itakayowakutanisha Twiga Stars na Zambia ‘Shepolopolo’ kwenye Uwanja wa Azam Complex...