STARS KUCHEZA MCHEZO WA MARUDIANO NOVEMBA 17 MWAKA HUU ALGERIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-V0Y5xmeOBFY/VjJbWWDA46I/AAAAAAAIDZI/2kP7IrmE-JE/s72-c/download.jpg)
TIMU ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, inatarajiwa kusafiri na ndege ya binafsi ya kukodi ya shirika la Fastjet kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano utakaochezwa Novemba 17 mjini Algiers.Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fasjet kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Jimmy Kibati amesema kampuni yao imefikia makubaliano na TFF ya kuwa msafirishaji rasmi wa timu ya Taifa kwa ajili ya mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa fainali za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-itvoSU-OT4E/Vh5kZCkpMSI/AAAAAAABXTc/OUUgcg6EE7o/s72-c/ADDD.png)
MECHI KATI YA TANZANIA NA ALGERIA KUCHEZWA NOVEMBA 14 MWAKA HUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-itvoSU-OT4E/Vh5kZCkpMSI/AAAAAAABXTc/OUUgcg6EE7o/s640/ADDD.png)
Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.
Kikosi cha Stars chini ya...
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
Makamu wa Rais awapa moyo wachezaji wa Taifa Stars kuelekea mchezo wa marudiano
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishangilia sambamba na baadhi ya Viongozi bao la kwanza la Taifa Stars lililofungwa na Elias Maguli, katika kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Kuwania kufuzu hatua ya makundi Kombe la dunia dhidi ya Algeria uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya Stars yalifungwa na Elias Maguli na Mbwana Samatta. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/_2K4mum7YfI/default.jpg)
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Stars kuivaa Algeria Novemba 14
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
Taifa Stars kucheza mchezo wa kujipima uwezo na University of Pretoria
Kikosi cha timu ya taifa kikiwa katika moja ya programu za mazoezi.
Kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa akinena jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Na Rabi Hume
Timu ya taifa, Taifa Stars iliyopo Johannesburg, Afrika kusini inatarajiwa kucheza mchezo wa kujipima uwezo na timu ya University of Pretoria (Tucks Fc) mchezo unaotarajiwa kuchezwa Jumapili Novemba,8.
Mchezo huo unaotariwa kuchezwa katika jiji la Johannesburg ikiwa ni sehemu ya program za Kocha wa timu ya taifa,...
9 years ago
Habarileo23 Oct
‘Mchezo Stars, Algeria utakuwa mgumu’
NAHODHA wa ‘Taifa Stars’ Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema ni vigumu kuuzungumzia mchezo wao dhidi ya Algeria kutokana na ubora waliokuwa nao wapinzani wao wanaotarajiwa kupambana nao Novemba 14 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Kikosi cha wachezaji 25 wa Algeria wanaokuja kuivaa Taifa Stars, Novemba 14!
Algeria imetangaza kikosi cha wachezaji 25 wanaokuja Tanzania kwa ajili ya mchezo dhidi ya Taifa Stars wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia Urusi 2018.
Kikosi hicho ni kama ifuatavyo: Walinda mlango: Rais M’Bolhi (Antalyaspor / Uturuki), Azzedine Doukha (JS Kabylie), Malik Asselah (CR Belouizdad).
Viungo: Mehdi Zeffane (Rennes / Ufaransa), Mohamed Khoutir Ziti (JS Kabylie), Faouzi Ghoulam (Napoli / Italia), Djamel Mesbah (Sampdoria / Italia), Carl Medjani (Trabzonspor /...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Kesi ya Macha Novemba 18 mwaka huu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu juzi ilishindwa kutoa uamuzi kama inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Macha kama ana kesi ya kujibu ama la. Hali hiyo ilitokana na Hakimu...
9 years ago
MichuziSTARS YAWASILI, KOCHA AAHIDI KUFANYA VIZURI KATIKA MCHEZO WAO DHIDI YA ALGERIA