‘Mchezo Stars, Algeria utakuwa mgumu’
NAHODHA wa ‘Taifa Stars’ Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema ni vigumu kuuzungumzia mchezo wao dhidi ya Algeria kutokana na ubora waliokuwa nao wapinzani wao wanaotarajiwa kupambana nao Novemba 14 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-V0Y5xmeOBFY/VjJbWWDA46I/AAAAAAAIDZI/2kP7IrmE-JE/s72-c/download.jpg)
STARS KUCHEZA MCHEZO WA MARUDIANO NOVEMBA 17 MWAKA HUU ALGERIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-V0Y5xmeOBFY/VjJbWWDA46I/AAAAAAAIDZI/2kP7IrmE-JE/s1600/download.jpg)
9 years ago
MichuziSTARS YAWASILI, KOCHA AAHIDI KUFANYA VIZURI KATIKA MCHEZO WAO DHIDI YA ALGERIA
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Mbwana Sammatta 'Mchezo ulikuwa mgumu upande wetu'
9 years ago
Habarileo13 Oct
Stars yaipania Algeria
KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema baada ya kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, wanajipanga kuimaliza Algeria katika mchezo ujao.
9 years ago
Habarileo14 Nov
Stars kuishtua Algeria
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imepania kuizima Algeria katika mchezo wa kusaka kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi mwaka 2018, katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Taifa Stars yaitesa Algeria
ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER
WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ikitarajia kurudiana na Algeria ‘The Desert Foxes’ kwenye Uwanja wa Mustapha Tchaker jijini Blida leo saa 3:15 usiku, Taifa Stars imeonekana kuwatesa wapinzani hao kuelekea mchezo huo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Kiwango kikubwa walichokionyesha Stars kwenye mchezo wa kwanza uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, bado kimezidi kuwavuruga Algeria ambao hadi sasa hawaamini kama...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-K4aWZ7XNT4M/Vkl8I98YyUI/AAAAAAAIGGQ/2Mn2q6RcqZI/s72-c/bilda.png)
STARS YAWASILI SALAMA ALGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-K4aWZ7XNT4M/Vkl8I98YyUI/AAAAAAAIGGQ/2Mn2q6RcqZI/s640/bilda.png)
Msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Athumani Kambi, ambapo jumla ya watu 40 wapo katika mji wa Bilda wakiwemo wachezaji 21 wanaojiandaa kwa mchezo wa marudiano.
Mara baada ya kufika katika uwanja wa ndege Algiers, Stars ilipokelewa na watanzania...
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Stars matumaini kibao Algeria
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka nchini jana alfajiri kuelekea jijini Algiers huku kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri na kuwatoa wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ ugenini.
Stars iliyolazimishwa sare ya mabao 2-2 nyumbani, itarudiana na Algeria kwenye Uwanja wa Stade Mustapha Tchaker jijini Algiers kesho katika mchezo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Kocha Mkuu wa Stars, Charles...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Stars kuvunja mwiko Algeria