Stars kuishtua Algeria
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imepania kuizima Algeria katika mchezo wa kusaka kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi mwaka 2018, katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo13 Oct
Stars yaipania Algeria
KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema baada ya kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, wanajipanga kuimaliza Algeria katika mchezo ujao.
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Stars kuvunja mwiko Algeria
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Stars matumaini kibao Algeria
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka nchini jana alfajiri kuelekea jijini Algiers huku kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri na kuwatoa wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ ugenini.
Stars iliyolazimishwa sare ya mabao 2-2 nyumbani, itarudiana na Algeria kwenye Uwanja wa Stade Mustapha Tchaker jijini Algiers kesho katika mchezo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Kocha Mkuu wa Stars, Charles...
9 years ago
MichuziSTARS YAWASILI SALAMA ALGERIA
Msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Athumani Kambi, ambapo jumla ya watu 40 wapo katika mji wa Bilda wakiwemo wachezaji 21 wanaojiandaa kwa mchezo wa marudiano.
Mara baada ya kufika katika uwanja wa ndege Algiers, Stars ilipokelewa na watanzania...
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Taifa Stars yaitesa Algeria
ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER
WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ikitarajia kurudiana na Algeria ‘The Desert Foxes’ kwenye Uwanja wa Mustapha Tchaker jijini Blida leo saa 3:15 usiku, Taifa Stars imeonekana kuwatesa wapinzani hao kuelekea mchezo huo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Kiwango kikubwa walichokionyesha Stars kwenye mchezo wa kwanza uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, bado kimezidi kuwavuruga Algeria ambao hadi sasa hawaamini kama...
9 years ago
Habarileo12 Oct
Stars sasa yaisubiri Algeria
TIMU ya taifa ya Tanzania Taifa Stars pamoja na kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Malawi `The Flames’ imesonga mbele katika kinyang’anyiro cha kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi 2018.
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Magufuli kuiona Stars, Algeria
*Mecky Sadiki amwalika Kikwete
*Algeria yapata pigo jingine
THERESIA GASPER NA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi kati ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ dhidi ya Algeria ‘The Desert Foxes’, unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mchezo huo utakuwa wa kwanza kuhudhuriwa na Rais huyo mpya tangu...
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Stars kuivaa Algeria Novemba 14
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Stars safi, Algeria pigo
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, ikiwa inaendelea vema na kambi yake nchini Afrika Kusini, wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ wamepata pigo baada ya kuumia kwa staa wake, Sofiane Feghouli.
Algeria inawasili nchini kesho kucheza na Stars kwenye mchezo wa raundi ya pili wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Jumamosi hii, huku wa marudiano ukifanyika Jumanne ijayo jijini Algiers,...