Magufuli kuiona Stars, Algeria
*Mecky Sadiki amwalika Kikwete
*Algeria yapata pigo jingine
THERESIA GASPER NA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi kati ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ dhidi ya Algeria ‘The Desert Foxes’, unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mchezo huo utakuwa wa kwanza kuhudhuriwa na Rais huyo mpya tangu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo04 Sep
Kuiona Stars buku 7, Magufuli aitakia heri.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-4Augst2015.jpg)
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.
Wakati kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameomba Watanzania waruhusiwe kuingia bure uwanjani kuishangilia Taifa Stars dhidi ya Nigeria kesho, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vikubwa kwa ajili ya mechi hiyo ya kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017.
Wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho kuhusu uchaguzi mkuu mwaka huu zilizofanyika Mbagala jijini Dar es Salaam Jumapili, Zitto...
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
SPORT NEWS: Rais Magufuli kuikosa Stars na Algeria, ahudhuria kwenye mazishi ya mjukuu wake!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa Mjukuu wa Mhe Rais John Magufuli, marehemu Maryfaustna Mlyambina, wakati wa shughuli za kuaga zilizofanyika Kimara jijini Dar es Dalaam jana.
Na Rabi Hume
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dkt. John Magufuli ambaye angekuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Algeria ameshindwa kuhudhuria mchezo huo kutokana na msiba alioupata wa mjukuu wake.
Mchezo...
9 years ago
Habarileo31 Aug
Zitto ataka mashabiki kuiona Stars bure
KIONGOZI wa Chama cha Alliance for Change and Transparency au ACT, Zitto Kabwe amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuondoa viingilio ili wapenzi wa soka kuona bure mchezo ya Taifa Stars na Nigeria utakaofanyika Septemba 5.
9 years ago
Habarileo13 Oct
Stars yaipania Algeria
KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema baada ya kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, wanajipanga kuimaliza Algeria katika mchezo ujao.
9 years ago
Habarileo14 Nov
Stars kuishtua Algeria
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imepania kuizima Algeria katika mchezo wa kusaka kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi mwaka 2018, katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Stars kuvunja mwiko Algeria
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-K4aWZ7XNT4M/Vkl8I98YyUI/AAAAAAAIGGQ/2Mn2q6RcqZI/s72-c/bilda.png)
STARS YAWASILI SALAMA ALGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-K4aWZ7XNT4M/Vkl8I98YyUI/AAAAAAAIGGQ/2Mn2q6RcqZI/s640/bilda.png)
Msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Athumani Kambi, ambapo jumla ya watu 40 wapo katika mji wa Bilda wakiwemo wachezaji 21 wanaojiandaa kwa mchezo wa marudiano.
Mara baada ya kufika katika uwanja wa ndege Algiers, Stars ilipokelewa na watanzania...
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Taifa Stars yaitesa Algeria
ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER
WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ikitarajia kurudiana na Algeria ‘The Desert Foxes’ kwenye Uwanja wa Mustapha Tchaker jijini Blida leo saa 3:15 usiku, Taifa Stars imeonekana kuwatesa wapinzani hao kuelekea mchezo huo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Kiwango kikubwa walichokionyesha Stars kwenye mchezo wa kwanza uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, bado kimezidi kuwavuruga Algeria ambao hadi sasa hawaamini kama...
9 years ago
Habarileo12 Oct
Stars sasa yaisubiri Algeria
TIMU ya taifa ya Tanzania Taifa Stars pamoja na kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Malawi `The Flames’ imesonga mbele katika kinyang’anyiro cha kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi 2018.