Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto ataka mashabiki kuiona Stars bure

KIONGOZI wa Chama cha Alliance for Change and Transparency au ACT, Zitto Kabwe amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuondoa viingilio ili wapenzi wa soka kuona bure mchezo ya Taifa Stars na Nigeria utakaofanyika Septemba 5.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Magufuli kuiona Stars, Algeria

DSC_0277*Mecky Sadiki amwalika Kikwete

*Algeria yapata pigo jingine

THERESIA GASPER NA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi kati ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ dhidi ya Algeria ‘The Desert Foxes’, unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mchezo huo utakuwa wa kwanza kuhudhuriwa na Rais huyo mpya tangu...

 

9 years ago

Vijimambo

Kuiona Stars buku 7, Magufuli aitakia heri.


Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.

Wakati kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameomba Watanzania waruhusiwe kuingia bure uwanjani kuishangilia Taifa Stars dhidi ya Nigeria kesho, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vikubwa kwa ajili ya mechi hiyo ya kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017.

Wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho kuhusu uchaguzi mkuu mwaka huu zilizofanyika Mbagala jijini Dar es Salaam Jumapili, Zitto...

 

10 years ago

GPL

ZITTO AWAPASUA VICHWA VYA MASHABIKI WAKE

ZITTO Zuberi Kabwe Stori: Mwandishi Wetu ZITTO Zuberi Kabwe ambaye ametangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwamba amevuliwa uanachama, anawatesa mashabiki wake kwa sababu hawajui atahamia chama gani. Wakizungumza na Uwazi Mizengwe, baadhi ya wanachama wa Chadema ambao ni wafuasi wa mwanasiasa huyo kijana, walisema hatma ya Zitto hawaijui kwa kuwa amekuwa mgumu kutoa uamuzi. “Tulitegemea akiwa Kigoma...

 

9 years ago

Habarileo

Kerr ataka mashabiki wasikate tamaa

KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokata tamaa na matokeo ya sare na kwamba timu yake itakaa sawa katika mechi zijazo. Simba juzi ilipata sare ya tatu baada ya ile dhidi ya Azam na dhidi ya Toto African ya Mwanza kwa kutoka sare ya bao 1-1 na Mwadui ya Shinyanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto ataka TBC kuchunguzwa

>Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amependekeza kufanyika uchunguzi wa kiufundi ili kubaini sababu za kukatika kwa matangazo ya moja kwa moja ya kituo cha televisheni cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati Bunge la Katiba likiendelea juzi.

 

11 years ago

Habarileo

Ataka Zitto afutwe Chadema

Mchungaji Peter Msigwa MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wao, Kabwe Zitto.

 

11 years ago

Michuzi

VIINGILIO MECHI ZA TAIFA STARS SASA KARIBU NA BURE - MALINZI


Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM JAMAL Malinzi, rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kwamba kuanzia sasa viingilio vya mechi za timu ya taifa, Taifa Stars kwa maeneo yasiyo ya VIP vitakuwa vya bei nafuu ili kutoa fursa kwa watu wengi kwenda kuishangilia timu hiyo.Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam, Malinzi amesema kwamba wamejifunza hilo kutoka kwa Zimbabwe ambao kwenye mechi za timu ya taifa viingilio vya eneo la mzunguko huwa vya chini mno.
“Tumeona...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond awashukuru mashabiki, ataka wahamie MTV

MSHINDI wa tuzo saba za Muziki za Kilimanjaro (KTMA 2014), Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz,’ amewashukuru wadau na mashabiki wa sanaa nchini waliomwezesha kuibuka na ushindi huo uliovunja rekodi huku akiwataka...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ataka Zitto, wenzake wafukuzwe

Wakati Kamati Kuu ya Chadema ikijipanga kuwahoji Zitto Kabwe na wenzake waliosimamishwa, Mwenyekiti wa chama hicho katika Kanda ya Kaskazini, Mchungaji Israel Natse, amesema salama ya chama hicho ni kuwatimua wote waliovuliwa nyadhifa zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani