Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge ataka Zitto, wenzake wafukuzwe

Wakati Kamati Kuu ya Chadema ikijipanga kuwahoji Zitto Kabwe na wenzake waliosimamishwa, Mwenyekiti wa chama hicho katika Kanda ya Kaskazini, Mchungaji Israel Natse, amesema salama ya chama hicho ni kuwatimua wote waliovuliwa nyadhifa zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ODAMA ATAKA WENZAKE WAJITUME

Imelda Mtema
STAA ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amewataka mastaa wenzake wa kike kujituma kufanya kazi, kwani ndiyo siri pekee ya kuwaepuka wanaume wakware wanaotumia fedha kuwarubuni kirahisi. Staa ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akipiga stori na gazeti hili, Odama alisema wanaume wakware wakiona staa wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu ataka wenzake wakae majimboni

MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema wabunge wanatakiwa kutambua majimboni si sehemu ya kupakimbia na wapaone kuwa ni nyumbani kwao. Alitoa kauli hiyo jana bungeni alipokuwa akizungumza na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Zitto, viongozi wenzake wakamatwa Kusini mwa Tanzania

Katibu Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amethibitisha kukamatwa kwa kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe, mkoani Lindi Kusini mwa Tanzania.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge Chadema aduwaza wenzake

Leticia NyerereMBUNGE wa Viti Maalumu, Leticia Nyerere (Chadema) ameeleza kufurahishwa na Serikali kwa kufanyia kazi maombi yote ambayo amekuwa akiyawasilisha bungeni, miongoni mwake ikiwa ni pamoja na wananchi wa Kwimba kupatiwa huduma za kijamii.

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIO HOTUBA YA ZITTO ALIYOTAKA KUITOA BUNGENI YA KUWAAGA WABUNGE WENZAKE

Mh. Zitto Zuberi Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.

Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na...

 

11 years ago

Habarileo

Ataka Zitto afutwe Chadema

Mchungaji Peter Msigwa MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wao, Kabwe Zitto.

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto ataka TBC kuchunguzwa

>Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amependekeza kufanyika uchunguzi wa kiufundi ili kubaini sababu za kukatika kwa matangazo ya moja kwa moja ya kituo cha televisheni cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati Bunge la Katiba likiendelea juzi.

 

9 years ago

Habarileo

Zitto ataka mashabiki kuiona Stars bure

KIONGOZI wa Chama cha Alliance for Change and Transparency au ACT, Zitto Kabwe amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuondoa viingilio ili wapenzi wa soka kuona bure mchezo ya Taifa Stars na Nigeria utakaofanyika Septemba 5.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto ataka kampuni ya umma bandari ya Dar

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe amependekeza kuanzishwa kwa Kampuni ya umma itakayokuwa inahusika kufanya shughuli za kupakia na kupakua mizigo katika bandari ya Dar es Salaam badala ya utaratibu wa sasa ambao ni wa kampuni binafsi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani